Ni kwanini tasnia ya bongo movies haeindelei mpaka leo ukilinganisha na bongo fleva?


Wacha mie niendelee kuimba wolololo wolololo
 
Wana feki too much halafu wameshindwa kabisa kutofautisha maisha halisi na ya maigizo
 
Tatizo la bongo movies kwangu mimi si fedha bali linaanzia kwenye casting.

Tasnia hii imejaa watu wasio na talent, siku hizi wanacho angalia sana uzuri, shape, matako kwa wanawake na kwa wanaume wanaangalia rangi shombeshombe, body ,six pack na upuuzi upuuzi kwa kutrend huku social networks ila talent hawatizami kabisa na si kwamba hamna talent Tz zipo ila kwa jicho lingine may be industry ya bongo movies inavyo one kana kuna rushwa haswa ya ngono na ndio maana wanajali uzuri kuliko talent.

Wadangaji na wanaishi mjini kwa umario aka msingi kiuno wamejaa kibao kwenye industry ambao hawana talent, sasa wewe inazani bongo movies itaendelea lini, kwa kuwa talent halisi hazipo basi hata ubunifu nao haupo.

Atleast Madebe ,Tinwhite, Ringo, Mkojani nk wengineo wana jitahidi, ila hizi tamthilia nyingine labda nikae niangalie misambwanda ila sizielewagi kabisa.
 
Mpaka waache kutoa connection maana ndo wanaongoza kwa kutoa connection mjini hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…