Ni kwanini ukipokea Taarifa nzuri au mbaya Usiku kupitia Television Usingizi nao unakata ghafla na Unakesha tu?

Ni kwanini ukipokea Taarifa nzuri au mbaya Usiku kupitia Television Usingizi nao unakata ghafla na Unakesha tu?

MINOCYCLINE

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2015
Posts
8,018
Reaction score
16,802
Wanasaikolojia wa JF nisaidieni katika hili tafadhali kwani nimetoka kusikia Habari nzuri sana na niliyokuwa naisubiria kwa hamu kutoka Ikulu ya Marekani kupitia CNN yao.
 
Mkuu umekula kweli leo usiku ? Mara ya mwisho kula ni lini sio toka jana mchana kweli ? Maanaa ukiwa na njaa ndo huwezi kulala

Ndo huwa iko hivyo
 
Wanasaikolojia wa JF nisaidieni katika hili tafadhali kwani nimetoka kusikia Habari nzuri sana na niliyokuwa naisubiria kwa hamu kutoka Ikulu ya Marekani kupitia CNN yao.

[emoji23][emoji23]wacha nicheke tu maana mi mwenyewe nililala taa ikiwa inawaka baada ya zile taarifa
 
Mleta Uzi umenikumbusha ile siku msiba wa anko magu ulipotangazwa..sikulala Aisee
 
Binadamu hakuumbiwa kuwa na usingizi
Usingizi ni illusion tu
 
Back
Top Bottom