Ni kwanini vijana wengi siku hizi wamekuwa waoga wa kutafuta maisha?

Mboka man

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
478
Reaction score
1,647
Kuna jambo ningependa kuwashirikisha wana JF wenzangu kumekuwa na tatizo vijana wengi kuogopa maisha.

Inafika stage kijana wa kiume ana umri wa miaka 35, 30 au 40 bado anaogopa kujitegemea, anaogopa maisha. Je, tatizo ni nini?
 
Tatizo akili za chips na broila
 
Kuna jambo ningependa kuwashirikisha wana JF wenzangu kumekuwa na tatizo vijana wengi kuogopa maisha.

Inafika stage kijana wa kiume ana umri wa miaka 35, 30 au 40 bado anaogopa kujitegemea, anaogopa maisha. Je, tatizo ni nini?
Anaogopaje maisha mkuu em fafanua ,,, Maisha ni kuishi au kuwa hai sasa ukisema mtu anaogopa maisha una maana gani au huyo mtu anakuwa kajiua
 
Achana nao wewe tafuta maisha yako ...unaanzaje Kwanza kuwaza binadamu Zaid ya billion huko destination zao...we kaa kwa kutulia fanya mipango yako
 
Hili ndio jibu mujjarabu!
Kwenye maisha Kuna Mambo mengi.mwingine kaamua umaskini uwe Ni Kama pambo kwake yaani kaacha kutafuta haya materials ya ulimwengu ambayo Ni ya kupita Sasa utasemaje Ni muoga wa maisha?
 
Kuna jambo ningependa kuwashirikisha wana JF wenzangu kumekuwa na tatizo vijana wengi kuogopa maisha.

Inafika stage kijana wa kiume ana umri wa miaka 35, 30 au 40 bado anaogopa kujitegemea, anaogopa maisha. Je, tatizo ni nini?

Sasa wewe inakuhusu vipi? Fanya mambo yako.
 
Back
Top Bottom