Mboka man JF-Expert Member Joined Aug 22, 2020 Posts 478 Reaction score 1,647 Apr 9, 2021 #1 Kuna jambo ningependa kuwashirikisha wana JF wenzangu kumekuwa na tatizo vijana wengi kuogopa maisha. Inafika stage kijana wa kiume ana umri wa miaka 35, 30 au 40 bado anaogopa kujitegemea, anaogopa maisha. Je, tatizo ni nini?
Kuna jambo ningependa kuwashirikisha wana JF wenzangu kumekuwa na tatizo vijana wengi kuogopa maisha. Inafika stage kijana wa kiume ana umri wa miaka 35, 30 au 40 bado anaogopa kujitegemea, anaogopa maisha. Je, tatizo ni nini?
Ausar JF-Expert Member Joined Mar 19, 2021 Posts 2,369 Reaction score 3,800 Apr 9, 2021 #2 Tatizo akili za chips na broila
baraka bb JF-Expert Member Joined Mar 20, 2016 Posts 2,691 Reaction score 3,884 Apr 9, 2021 #3 Mboka man said: Kuna jambo ningependa kuwashirikisha wana JF wenzangu kumekuwa na tatizo vijana wengi kuogopa maisha. Inafika stage kijana wa kiume ana umri wa miaka 35, 30 au 40 bado anaogopa kujitegemea, anaogopa maisha. Je, tatizo ni nini? Click to expand... Anaogopaje maisha mkuu em fafanua ,,, Maisha ni kuishi au kuwa hai sasa ukisema mtu anaogopa maisha una maana gani au huyo mtu anakuwa kajiua
Mboka man said: Kuna jambo ningependa kuwashirikisha wana JF wenzangu kumekuwa na tatizo vijana wengi kuogopa maisha. Inafika stage kijana wa kiume ana umri wa miaka 35, 30 au 40 bado anaogopa kujitegemea, anaogopa maisha. Je, tatizo ni nini? Click to expand... Anaogopaje maisha mkuu em fafanua ,,, Maisha ni kuishi au kuwa hai sasa ukisema mtu anaogopa maisha una maana gani au huyo mtu anakuwa kajiua
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Apr 9, 2021 #4 Achana nao wewe tafuta maisha yako ...unaanzaje Kwanza kuwaza binadamu Zaid ya billion huko destination zao...we kaa kwa kutulia fanya mipango yako
Achana nao wewe tafuta maisha yako ...unaanzaje Kwanza kuwaza binadamu Zaid ya billion huko destination zao...we kaa kwa kutulia fanya mipango yako
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 21,643 Reaction score 51,642 Apr 9, 2021 #5 Gamba la Mbu said: Hili ndio jibu mujjarabu! Click to expand... Kwenye maisha Kuna Mambo mengi.mwingine kaamua umaskini uwe Ni Kama pambo kwake yaani kaacha kutafuta haya materials ya ulimwengu ambayo Ni ya kupita Sasa utasemaje Ni muoga wa maisha?
Gamba la Mbu said: Hili ndio jibu mujjarabu! Click to expand... Kwenye maisha Kuna Mambo mengi.mwingine kaamua umaskini uwe Ni Kama pambo kwake yaani kaacha kutafuta haya materials ya ulimwengu ambayo Ni ya kupita Sasa utasemaje Ni muoga wa maisha?
Baba Wille JF-Expert Member Joined Feb 9, 2014 Posts 548 Reaction score 551 Apr 9, 2021 #6 Mboka man said: Kuna jambo ningependa kuwashirikisha wana JF wenzangu kumekuwa na tatizo vijana wengi kuogopa maisha. Inafika stage kijana wa kiume ana umri wa miaka 35, 30 au 40 bado anaogopa kujitegemea, anaogopa maisha. Je, tatizo ni nini? Click to expand... Sasa wewe inakuhusu vipi? Fanya mambo yako.
Mboka man said: Kuna jambo ningependa kuwashirikisha wana JF wenzangu kumekuwa na tatizo vijana wengi kuogopa maisha. Inafika stage kijana wa kiume ana umri wa miaka 35, 30 au 40 bado anaogopa kujitegemea, anaogopa maisha. Je, tatizo ni nini? Click to expand... Sasa wewe inakuhusu vipi? Fanya mambo yako.