Ni kwanini Viongozi Serikalini wakilazwa Mzena Hospital huwa tunafichwa, ila wakifa tu tunaambiwa Walilazwa hapo Mzena Hospital?

Naona lile jamaa ambalo ni dawa la malaria limevamia huu uzi. Alafu arguments zake za kitoto sana na siku zote haliwezi kujificha kwa ID tofauti. Mtu hawezi kuwa na cover hata kwenye kutype,ni Rwandese naye anatibiwa Mzena.
 
Mi nikilazwa hospitali X au hospitali Zena inakuhusu nini⁉️

Mimi nikifa/ nikifariki hospitali X au Zena inakuuma nini⁉️

Maziko yao yanakuhusu nini⁉️
 
Acha bwanaa weee kufananisha johns hopkins.. na hiyo kitu πŸ˜‘πŸ˜‘
 
Naona lile jamaa ambalo ni dawa la malaria limevamia huu uzi. Alafu arguments zake za kitoto sana na siku zote haliwezi kujificha kwa ID tofauti. Mtu hawezi kuwa na cover hata kwenye kutype,ni Rwandese naye anatibiwa Mzena.
Mbona kama unamtaja mshikaji wangu Gentamycin ?
 
Hata marekani viongozi wao wakiumwa
Wanapelekwa hospital zao mfano walter reed etc

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Walter reed haina tofauti sana na hospital nyingine wanaotibiwa raia wa kawaida. Lakini huku kwetu kuna gape kubwa kati ya hospital special kwa ajili ya vigogo kama hiyo ya mzena na mwananyamala Au temeke hospital
 
Achana nae huyo, ukisoma uzuri utagundua ana msongo wa mawazo.
 
Ndio kwanza naisikia
 
Wapanue wigo huko chini waweke senta ya utafiti wa chanjo mbalimbali ikiwezekana kutengeneza virusi kama vya corona n.k
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…