Ni kwanini Viongozi Serikalini wakilazwa Mzena Hospital huwa tunafichwa, ila wakifa tu tunaambiwa Walilazwa hapo Mzena Hospital?

Ni kwanini Viongozi Serikalini wakilazwa Mzena Hospital huwa tunafichwa, ila wakifa tu tunaambiwa Walilazwa hapo Mzena Hospital?

Naona lile jamaa ambalo ni dawa la malaria limevamia huu uzi. Alafu arguments zake za kitoto sana na siku zote haliwezi kujificha kwa ID tofauti. Mtu hawezi kuwa na cover hata kwenye kutype,ni Rwandese naye anatibiwa Mzena.
 
Sasa kwanini tu kwakuwa mmeamua Kutuficha Watanzania kuhusu Kulazwa Kwao hapo Mzena Hospital basi hata Wakifa ( Wakifariki ) msiendelee pia Kutuficha kwa Kutotujajia hiyo Hospitali na badala yake muendelee tu na Ratiba zenu za Maziko nyie nyie kama nyie pamoja na Wauguzi wa Mzena Hospital na wale Walinzi Wanoko wenye Maswali ya Kukomoa pale Getini Makumbusho? Tumeivumilia hii tabia tumechoka na badilikeni!
Mi nikilazwa hospitali X au hospitali Zena inakuhusu nini⁉️

Mimi nikifa/ nikifariki hospitali X au Zena inakuuma nini⁉️

Maziko yao yanakuhusu nini⁉️
 
Hii hospital ni kubwa na ya kisasa kuliko zote Tanzania inatibu viongozi wa serikali. Hata jakaya alipodondoka kwenye kampeni za uchaguzi pale jangwani Mara mbili alikimbizwa na kuletwa pale DMMH pia ina underground basement. Kimsingi huduma za pale ni Kama za John Hopkinson.
Acha bwanaa weee kufananisha johns hopkins.. na hiyo kitu 😑😑
 
Naona lile jamaa ambalo ni dawa la malaria limevamia huu uzi. Alafu arguments zake za kitoto sana na siku zote haliwezi kujificha kwa ID tofauti. Mtu hawezi kuwa na cover hata kwenye kutype,ni Rwandese naye anatibiwa Mzena.
Mbona kama unamtaja mshikaji wangu Gentamycin ?
 
Hata marekani viongozi wao wakiumwa
Wanapelekwa hospital zao mfano walter reed etc

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Walter reed haina tofauti sana na hospital nyingine wanaotibiwa raia wa kawaida. Lakini huku kwetu kuna gape kubwa kati ya hospital special kwa ajili ya vigogo kama hiyo ya mzena na mwananyamala Au temeke hospital
 
Andika mambo yenye mantiki, siyo haya ya kiumbea. Unamwambia nani sasa unaposema "mmeamua kutuficha watanzania" kwani wao siyo watanzania? na je wakikuamabia kuwa wamelazwa hapo wewe itakusaidia nini? Je unataka wasitibiwe pale au unataka iweje? unataka waendelee kuwa wanakwenda kutibiwa nje ya nchi kama zamani?
Achana nae huyo, ukisoma uzuri utagundua ana msongo wa mawazo.
 
Kwani mkuu unaumia na nini juu ya Mzena? Wakilazwa hapo wagonjwa unatesekea nini? Ulisikia pale ni ya kila mtu ndo uende ende?
Ila unashangaza sana mtanzania mwenzangu. Ulienda kwa kufata protocol inavyopaswa ama ukienda na mziki wako mkubwa masifa sifa etc?
Na aliyekuambia ninkila kiongozi anatibiwa hapo ni nani? Na mbona ni hispital ya siku nyingi sana hiyo ndo mnaijua leo ama?
Ndio kwanza naisikia
 
Hii hospital ni kubwa na ya kisasa kuliko zote Tanzania inatibu viongozi wa serikali. Hata jakaya alipodondoka kwenye kampeni za uchaguzi pale jangwani Mara mbili alikimbizwa na kuletwa pale DMMH pia ina underground basement. Kimsingi huduma za pale ni Kama za John Hopkinson.
Wapanue wigo huko chini waweke senta ya utafiti wa chanjo mbalimbali ikiwezekana kutengeneza virusi kama vya corona n.k
 
Back
Top Bottom