Hapana, zikitangazwa wewe omba tu ukafanye usafi.Kupata ajira hata ya usafi tu hapo ni lazima ufanyiwe vettig na TISS.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, zikitangazwa wewe omba tu ukafanye usafi.Kupata ajira hata ya usafi tu hapo ni lazima ufanyiwe vettig na TISS.
Kwani ungesema tu kuwa Marehemu Baba yako Mzazi nae alikuwa ni Kunguni wa Oysterbay ( TISS Agent ), ungepungukiwa na chochote Ndugu?Mzee wangu Alisha wahi kulazwa hapo RIP Dad 😭😭
Upupu mtupu umemwaga...nafikiri kwa suala la usalama wa viongozi kulingana na majukumu yao ya kazi, kivipi? mfano kiongozi ametatua mgogoro wa mtu maskini na tajiri, na tajiri akawa ameshindwa kesi lakini hajafurahisha na adui yake hapo namba moja ni huyo kiongozi msuluhishaji...sasa tajiri anao uwezo wa kumdhuru kiongozi kwa njia tofauti, hivyo usalama elekezi ni muhimu kwa viongozi hasa wa afya zao.
Nachakata tu...
Daah Mwafrika akipata madaraka hata kuku hamuamini, hata ndugu yake hamuamini [emoji23] [emoji23] [emoji23]Unajua kwa nini viongozi, ingawa siyo wote, wanakwenda hapo? Ile hospital ni kwaajili ya TISS, hao viongozi wanapelekwa hapo kwaajili ya security iliyopo pale.
Aliyekuwa Boss wao Mkuu katika Awamu ya Mkapa na mwanzoni mwa Awamu ya Kikwete, kisha baadae akawa Kinafiki katika Kambi ya Lowassa.Nani huyo?
Bao la mwisho la Hayati Mchonga.Nani mwengine amefariki?
Kweli mkuu? Unaweza tuu kujiendea kama Benjamin Mkapa Hospital Dodoma??Ukiwa na kadi yako ya NHIF tu unakwenda kutibiwa pale bila shida. Haijalishi wewe ni nani...tatizo wabongo peree mingi. Eti sijui nini blaa blaa... pale mtu yoyote anaenda tu.
Mbona wengine wanatuharibia misingi ya Taifa lakini hawa uliwi?. Sema tu walimuonea Kombe!.Obviously sarcasm is not your strong suit.
Bernard Membe is the butt of all jokes now.
Tanzania jasusi mbobezi labda Mahfudh, hao kina Apson na Kombe wote wana scandals zinazo wa disqualify.
Mahfudh jasusi mbobezi mpaka serikali ya Tanzania ilikuwa inamuogopa haitaki awepo nchini.
Apson mwanasiasa aliyeshindwa ku back the right horse hivyo ujasusi wake una question mark, Kombe is even worse, aliuawa kama a common criminal baada ya kujiingiza kwenye siasa.
Asante kwa Kutujulisha kuwa kumbe na Wewe ni Mtoto wa wana Kunguni wa Oysterbay Ndugu na ndiyo maana nao huwa wanatibiwa hapo hapo.Wakati nasoma pugu sec my mom told me to go there to get treatment whenever i fall sick lakini sikuwahi kwenda though my mom and dad huwa wanatibiwa hapo at least after every two to three month
Sikuona mkuu. Pia sidhani kama ni issue kubwa.Mkuu ama Simu yako au Laptop yako umeiseti vyema upande wa Dictionary ukikosea neno utaona mstari Mwekundu chini. Je, Wewe hukuuona?
Na wa huko hata kama unaongozana nae Kwenda ( Kuingia ) huko akishakujua kuwa ni Mpumbavu hawezi kupoteza muda wake Kukufafanulia pia.Kuna vitu tu hayuko detailed kwasababu yeye alikua msindikizaji maybe mwenziye hakumwelezea vzr.
Isomeke Johns Hopkins. Si mwenyeji sana huko iliko na uliko.
That is a logical non sequitur that is, like Nebuchadnezzar's hanging garden, neither here nor there, kwanza kabisa sijasema Kombe aliharibu misingi ya taifa.Mbona wengine wanatuharibia misingi ya Taifa lakini hawa uliwi?. Sema tu walimuonea Kombe!.
Una hakika ni mimi niliandika hayo kwamba huduma za Mzena na Johns Hopkins zinafanana?Sababu zipi zimekufanya useme mzena ni kama john Hopkins.. wanalingana sehemu gani? Umeshawai fika John Hopkins ukaona huduma zao zinafanana na mzena
Matatizo mengine ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Mrisho Kikwete.Ndugu nikuambie nini sasa mbona umeacha habari inaelea hewani sijaelewa unachotaka kuambiwa?
Kwa hii issue ya hiyo hospital iki trend hapa JF wewe unateseka nini hasa? Tumbo linakata ghafla tukupeleke hapo Mzena??Hii issue ya Mzena Hospital inazidi ku-trend sana hapa JF bila sababu ya msingi.
Kwani kiongozi akiumwa wewe binafsi unateseka na nini?
Kwa minajili gani? Ili iweje?Matatizo mengine ya Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Jakaya Mrisho Kikwete.
Kukosea katika Jukwaa la Watu Werevu ( Great Thinkers ) kama hapa JamiiForums Kwako Wewe siyo Kosa? Utakuwa na Shida mno tu ya Kichwani.Sikuona mkuu. Pia sidhani kama ni issue kubwa.
Jasusi kaingizwa cha kike na Zitto ya kabwaga manyanga..Shule ya Jasusi Mbobezi Benard Kamilius Membe hiyo, akikuona umehaiharibu jina atasononeka zaidi.
Sasa kama ulijua kuwa haina maana kwa Mimi au Sisi kuyajua ilikuwaje ukawashwawashwa na Mwenyewe Kutuandikia vile? Acha kuwa Juha sawa?Kwa minajili gani? Ili iweje?