Ni kwanini Viongozi Serikalini wakilazwa Mzena Hospital huwa tunafichwa, ila wakifa tu tunaambiwa Walilazwa hapo Mzena Hospital?

Ni kwanini Viongozi Serikalini wakilazwa Mzena Hospital huwa tunafichwa, ila wakifa tu tunaambiwa Walilazwa hapo Mzena Hospital?

nafikiri kwa suala la usalama wa viongozi kulingana na majukumu yao ya kazi, kivipi? mfano kiongozi ametatua mgogoro wa mtu maskini na tajiri, na tajiri akawa ameshindwa kesi lakini hajafurahisha na adui yake hapo namba moja ni huyo kiongozi msuluhishaji...sasa tajiri anao uwezo wa kumdhuru kiongozi kwa njia tofauti, hivyo usalama elekezi ni muhimu kwa viongozi hasa wa afya zao.

Nachakata tu...
Upupu mtupu umemwaga...

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Unajua kwa nini viongozi, ingawa siyo wote, wanakwenda hapo? Ile hospital ni kwaajili ya TISS, hao viongozi wanapelekwa hapo kwaajili ya security iliyopo pale.
Daah Mwafrika akipata madaraka hata kuku hamuamini, hata ndugu yake hamuamini [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Obviously sarcasm is not your strong suit.

Bernard Membe is the butt of all jokes now.

Tanzania jasusi mbobezi labda Mahfudh, hao kina Apson na Kombe wote wana scandals zinazo wa disqualify.

Mahfudh jasusi mbobezi mpaka serikali ya Tanzania ilikuwa inamuogopa haitaki awepo nchini.

Apson mwanasiasa aliyeshindwa ku back the right horse hivyo ujasusi wake una question mark, Kombe is even worse, aliuawa kama a common criminal baada ya kujiingiza kwenye siasa.
Mbona wengine wanatuharibia misingi ya Taifa lakini hawa uliwi?. Sema tu walimuonea Kombe!.
 
Wakati nasoma pugu sec my mom told me to go there to get treatment whenever i fall sick lakini sikuwahi kwenda though my mom and dad huwa wanatibiwa hapo at least after every two to three month
Asante kwa Kutujulisha kuwa kumbe na Wewe ni Mtoto wa wana Kunguni wa Oysterbay Ndugu na ndiyo maana nao huwa wanatibiwa hapo hapo.
 
Isomeke Johns Hopkins. Si mwenyeji sana huko iliko na uliko.

Sababu zipi zimekufanya useme mzena ni kama john Hopkins.. wanalingana sehemu gani? Umeshawai fika John Hopkins ukaona huduma zao zinafanana na mzena
 
Mbona wengine wanatuharibia misingi ya Taifa lakini hawa uliwi?. Sema tu walimuonea Kombe!.
That is a logical non sequitur that is, like Nebuchadnezzar's hanging garden, neither here nor there, kwanza kabisa sijasema Kombe aliharibu misingi ya taifa.

Zzaidi, mimi nahimiza kutumia utawala wa sheria na mtu yeyote atakayevunja sheria ashitakiwe na kufhukumiwa kwa sheria.

Kuhusu Kombe, nimeelezea kilichotokea vis a vis ujasusi bobevu, sija ki endorse. Hayo ni mawili tofauti.
 
Sababu zipi zimekufanya useme mzena ni kama john Hopkins.. wanalingana sehemu gani? Umeshawai fika John Hopkins ukaona huduma zao zinafanana na mzena
Una hakika ni mimi niliandika hayo kwamba huduma za Mzena na Johns Hopkins zinafanana?
 
Back
Top Bottom