Ni kwanini Viongozi Serikalini wakilazwa Mzena Hospital huwa tunafichwa, ila wakifa tu tunaambiwa Walilazwa hapo Mzena Hospital?

Good
 
Kudos bro
 

Kweli ni muhimu kuwa na tahadhari katika utoaji wa hizo taarifa, lakini flat-out lies hazipaswi kuwa sehemu ya hiyo tahadhari. Ukidanganya na baadaye ikabainika hivyo, utapata tabu sana kumpata mtu wa kuamini taarifa zako kwa siku za baadaye!
 
Kama mloganzila vile ukishalazwa ndo bas tena imekula kwako.
Ilikuwa zamani wakati ikijaza tu Interns watupu bila Msaada wa Specialist Doctors ila kwa sasa wameshajirekebisha Ndugu. Nenda hutokufa.
 
Watu wamequote weeee mpaka basi lakini uzi mzima hakuna hata kapicha au kakipande ka picha cha hiyo hospital ya Mzena, dah shkamoo TISS
 
Zikifika zimefika hata uende wapi! Tutendeane mema tuache ubabe wa kifala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…