Ni kwanini Viongozi Serikalini wakilazwa Mzena Hospital huwa tunafichwa, ila wakifa tu tunaambiwa Walilazwa hapo Mzena Hospital?

Kweli ni muhimu kuwa na tahadhari katika utoaji wa hizo taarifa, lakini flat-out lies hazipaswi kuwa sehemu ya hiyo tahadhari. Ukidanganya na baadaye ikabainika hivyo, utapata tabu sana kumpata mtu wa kuamini taarifa zako kwa siku za baadaye!
Kudanganya flat out lie kama alivyodanganya Majaliwa kunaonesha hata akili ni ndogo na hufai kuwa kiongozi.

Kwenye uongozi wa nchi kuna ma deal mengi yanataka mahesabu, kuna majasusi wa kimataif wanataka kuwaweka viongozi katika mitego, sasa ukiwa mtu wa kupenda kudanganyadanganya kijinga tu, unaweza kuwa a national security risk kirahisi sana.
 
Acha mbwembwe wewe unaijua Johnshopkins?
 
Why watu Wana obsession na hii hospital?

Mngeambiwa alilazwa St Thomas London mngesemaje??
Ndio maana kuna usalama wa taifa, hivyo taarifa za kiongozi tena ngazi ya juu haziwezi kutolewa tu pasi na utaratibu, Mana huwezi jua adui yake ni nani? Na mzuri wake ni nani?
 
Kweli ni muhimu kuwa na tahadhari katika utoaji wa hizo taarifa, lakini flat-out lies hazipaswi kuwa sehemu ya hiyo tahadhari. Ukidanganya na baadaye ikabainika hivyo, utapata tabu sana kumpata mtu wa kuamini taarifa zako kwa siku za baadaye!
CCM uongo uongo na kujipendekeza ndio zenu
 
Ukiwa na kadi yako ya NHIF tu unakwenda kutibiwa pale bila shida. Haijalishi wewe ni nani...tatizo wabongo peree mingi. Eti sijui nini blaa blaa... pale mtu yoyote anaenda tu.
Ule mgahawa unaoitazama geti la pale tiss sijui kwanini hawauondoi au uko pale stratejikali? Halafu nshatongozaga kamdada pale nikapigwa za mbavu, dunia hii.
 
Unajua kwa nini viongozi, ingawa siyo wote, wanakwenda hapo? Ile hospital ni kwaajili ya TISS, hao viongozi wanapelekwa hapo kwaajili ya security iliyopo pale.
Ni sawa kabisa kuwalinda viongozi wetu.

Tatizo kubwa sana kwa nchi nyingi ni siasa za kijinga ambazo hatatasisi nyeti zinaweza kuwa na wajinga hata wapumbavu na matokeo yake yanaweza kuwa hatari kwa viongozi wetu.

Usalama ni jambo moja na utaalam sahihi unaoweza kutegemewa kwenye taasisi za usalama ni jingine.

Siasa zinaweza kuingiza majuha yanayojipendekeza na kuimba uzalendo kwenye taasisi nyeti (haya ni maoni ya jumla tu, hayalengi taasisi za Tanzania tu).
 
Ugonjwa ni siri haijalishi ni nani ivi utajisikiaje nkikutangza unaumwa Haemorrhoids au rectal prolapse ni kwamba mnataka ikitokea Raisi anaumwa muambiwe Raisi ana maralia wadudu watatu?
 
Ugonjwa ni siri haijalishi ni nani ivi utajisikiaje nkikutangza unaumwa Haemorrhoids au rectal prolapse ni kwamba mnataka ikitokea Raisi anaumwa muambiwe Raisi ana maralia wadudu watatu?
Ugonjwa ni siri ya mtu binafsi. Hilo sijakataa.

Lakini, unapogombea urais, unakubali kujivua haki zako nyingi sana za mtu binafsi, unakuwa "public figure".

Unapangiwa ratiba nyingi sana ambazo huzitaki, lakini ni sehemu ya kazi.

Unapangiwa sheria nyingi sana za maadili za kutimiza. Watu binafsi hawajazi fomu za kuorodhesha mali zao. Rais na viongozi wengine wa umma kama wabunge wanatakiwa kufanya hivyo. Hawatakiwi kusema "haya ni mambo yetu ya faragha".

Kama unapenda sana faragha zako zisiingiliwe na watu, usigombee uongozi wa umma.

Hapo mtu akitaka kujua afya yako wakati hujachaguliwa kuongoza kitu, hutumii kodi ya watu kuhudumiwa, kuwa na faragha zako itakuwa haki.

Ukishaomba kupigiwa kura na kulipwa kwa kodi ya umma, tayari ushajivua ubinafsi. You become a public person.

Waingereza wanasema "with great power, comes great responsibility". Wafaransa wanasema "Noblesse oblige". Kwenye Biblia kuna mfano Yesu aliwapa watu tofauti talanta, aliyepewa talanta zaidi alidaiwa zaidi. Sasa wewe unataka mtu apewe talanta zaidi ya wengine, halafu kwenye kudaiwa adaiwe sawa na wengine?

Haya si maneno ninayoandika mimi tu.

Soma katiba ya Tanzania utaona kuna mchakato maalum wa kuangalia afya ya rais na kuichunguza kama rais anaweza kufanya kazi, na kama hawezi nini kifanyike.

Jamani someni katiba kabla ya kuketa ubishi usio na msingi hapa JF.

Rais angekuwa na haki ya faragha ya ugonjwa wake kutojulikana, kusingekuwa na vifungu vya katiba vya kuongelea afya ya rais kuchunguzwa na akionekana hawezi kazi mchakato gani ufuatwe kumpa mtu mwingine kazi za rais.

Let's argue facts. Not just made up stories.

Fact.

Katiba ina mchakato maalum wa kuchunguza afya ya rais na ku declare kama rais anafaa kuendelea kuongoza ama la, hivyo, afya ya rais si jambo la faragha isiyoweza kuchunguzwa.
 
Kwa akili zako ndogo kila anayewakosoa nyinyi ni mpinzani??

At least kukosoa ni kupinga hatua au position fulani. Wewe ndiyo wa ajabu kabisa, kwa sababu unadhani kila mwenye fikra tofauti na za kwako (na za chama chako) ni CCM! Mimi sina chama lakini naamini “opposing for the sake of it” is absurd!
 
At least kukosoa ni kupinga hatua au position fulani. Wewe ndiyo wa ajabu kabisa, kwa sababu unadhani kila mwenye fikra tofauti na za kwako (na za chama chako) ni CCM! Mimi sina chama lakini naamini “opposing for the sake of it” is absurd!
Acha kunipangia jinsi ya kufikiria kenge wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…