Ni kwanini Viongozi Serikalini wakilazwa Mzena Hospital huwa tunafichwa, ila wakifa tu tunaambiwa Walilazwa hapo Mzena Hospital?

Issue ni simple hyo hospital hulazwa na kutibiwa viongozi tu na familia zao.

Na syo kila kiongozi anaweza kutibiwa hapo,hapana hapo hutibiwa viongozi tu ambao ni viongozi sehemu fulani lakini pia ni member/wafanyakazi watiifu wa TISS

Sababu zinazofanya taarifa zao zifichwe ni kwamba kwanza hawataki kuleta attention kwa raia kuwa fulani ni mgonjwa

Pili hawataki kumu expose mhusika akahisiwa na jamii kuwa ni mfanyakazi wa TISS.

Ndo maana utakuta wanaotajwa hapo ni wale viongozi wa juu kabisa ambao hata wakiwa exposed syo issue but wapo wengi sana ambao waatibiwa na kupona na hata kufa hapo bila raia yoyote kujua
 
Ile siyo hospital ya cash isipokuwa kila mwenye kadi ya bima anaweza kutibiwa pale isipokuwa ukiingia mule lazima ufuate taratibu za pale siyo hospital ya kuingia kiholela ila haizuii mtu kutibiwa acheni kujazana ujinga na uzushi usiyo na faida.
 
Wewe ndio mjinga namba moja, hospitali ya idara ya usalama wa Taifa Mzena Memorial hospital ni kwa ajili ya watumishi wa idara na familia zao pamoja na viongozi waandamizi wa nchi.

Hospitali kwa ajili ya wote ni za Jeshi kama Lugalo.
 
Kwani kuna rekodi yeyote kuwa mama anaugonjwa?

Hatutaki kuja kuambiana alikuwa anaumwa toka akiwa afisa maendeleo, hivyo akawa anaishi kwa matibabu. [emoji851][emoji851][emoji851]
 
Achana na Sukuma gang, bado wapo kwenye maombolezo, hawaamini kwamba yule shetani wao yupo kuzimu.
 
😢
 
Wewe ndio mjinga namba moja, hospitali ya idara ya usalama wa Taifa Mzena Memorial hospital ni kwa ajili ya watumishi wa idara na familia zao pamoja na viongozi waandamizi wa nchi.

Hospitali kwa ajili ya wote ni za Jeshi kama Lugalo.
Nilitaka kumuuliza pale getini raia wa kawaida anaanzaje kusema eti naenda hospital..kwanza utaulizwa nani kakuambia humu kuna hospital na umejuaje hiyo hospital ?
 
Ile siyo hospital ya cash isipokuwa kila mwenye kadi ya bima anaweza kutibiwa pale isipokuwa ukiingia mule lazima ufuate taratibu za pale siyo hospital ya kuingia kiholela ila haizuii mtu kutibiwa acheni kujazana ujinga na uzushi usiyo na faida.
Utaratibu ukoje mkuu ..na mie wa kimong'onyole hapa kwa juma baniani niende kutibiwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…