jerryempire
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 5,530
- 9,550
Issue ni simple hyo hospital hulazwa na kutibiwa viongozi tu na familia zao.Sasa kwanini tu kwakuwa mmeamua Kutuficha Watanzania kuhusu Kulazwa Kwao hapo Mzena Hospital basi hata Wakifa ( Wakifariki ) msiendelee pia Kutuficha kwa Kutotujajia hiyo Hospitali na badala yake muendelee tu na Ratiba zenu za Maziko nyie nyie kama nyie pamoja na Wauguzi wa Mzena Hospital na wale Walinzi Wanoko wenye Maswali ya Kukomoa pale Getini Makumbusho? Tumeivumilia hii tabia tumechoka na badilikeni!
Na syo kila kiongozi anaweza kutibiwa hapo,hapana hapo hutibiwa viongozi tu ambao ni viongozi sehemu fulani lakini pia ni member/wafanyakazi watiifu wa TISS
Sababu zinazofanya taarifa zao zifichwe ni kwamba kwanza hawataki kuleta attention kwa raia kuwa fulani ni mgonjwa
Pili hawataki kumu expose mhusika akahisiwa na jamii kuwa ni mfanyakazi wa TISS.
Ndo maana utakuta wanaotajwa hapo ni wale viongozi wa juu kabisa ambao hata wakiwa exposed syo issue but wapo wengi sana ambao waatibiwa na kupona na hata kufa hapo bila raia yoyote kujua