Ni kwanini Viongozi Serikalini wakilazwa Mzena Hospital huwa tunafichwa, ila wakifa tu tunaambiwa Walilazwa hapo Mzena Hospital?

Siyo kila kiongozi anaenda pale mkuu. Hapa kamba aisee. Wako wahusika wakuu na familia zao
 
Kufa wewe BASI
 
Suala la kuelezea ugonjwa, hususan wa viongozi, lina utata sana.

1. Suala la ugonjwa ni suala la faragha. Nje ya madaktari na familia ya karibu, mtu ana uhuru asiweke habari za ugonjwa wake hadharani. Nchi zilizoendelea kuna sheria maalum zimetungwa kuhakikisha faragha ya mgonjwa inatunzwa.

Mfano ninm shwria ya HIPAA ya Marekani.

Health Insurance Portability and Accountability Act of 1996.

Lakini pia

2. Mtu anapochagua kuwa kiongozi, anachagua kuacha kuishi maisha ya mwananchi wa kawaida na kuyatoa maisha yake yawe ya kuwahudumia wananchi. Kwa hivyo kuna dhana kwamba, kama moja ya nguzo za uongozi kimaadili ni uwazi, viongozi wanawajibika kuwataarifu wananchi pindi wanapopata matatizo ya kiafya. Ni haki ya wananchi kupata taarifa hizi.

Lakini pia.

3. Taarifa hizi, hususan kwa viongozi wa juu kabisa kitaifa, zikitolewa bila tahadhari, zinaweza kuleta matatizo mengine ya kiusalama katika jamii.

Ila, mwisho wa yote.

4. Waswahili walisema, mficha maradhi, mauti humfichua.
 
Hii hospital ni kubwa na ya kisasa kuliko zote Tanzania inatibu viongozi wa serikali. Hata jakaya alipodondoka kwenye kampeni za uchaguzi pale jangwani Mara mbili alikimbizwa na kuletwa pale DMMH pia ina underground basement. Kimsingi huduma za pale ni Kama za John Hopkinson.
 
Vi
Yah niliingia na familia yake mzee
Na syo mara moja wengine mjini hapa tuna vimsmati mzee

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kuingia pale makumbusho napo ni kismati?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…