Ni kwanini Viongozi Serikalini wakilazwa Mzena Hospital huwa tunafichwa, ila wakifa tu tunaambiwa Walilazwa hapo Mzena Hospital?

Ni kwanini Viongozi Serikalini wakilazwa Mzena Hospital huwa tunafichwa, ila wakifa tu tunaambiwa Walilazwa hapo Mzena Hospital?

Tatizo ni kutotembea na kujichanganya na watu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mjini utapitwaaa
Viongozi wakiumwa malaria etc wanapelekwa pale na mbn hyo kawaida tu ni moja ya utaratibu kwa kuwafanyia viongozi

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Siyo kila kiongozi anaenda pale mkuu. Hapa kamba aisee. Wako wahusika wakuu na familia zao
 
Sasa kwanini tu kwakuwa mmeamua Kutuficha Watanzania kuhusu Kulazwa Kwao hapo Mzena Hospital basi hata Wakifa ( Wakifariki ) msiendelee pia Kutuficha kwa Kutotujajia hiyo Hospitali na badala yake muendelee tu na Ratiba zenu za Maziko nyie nyie kama nyie pamoja na Wauguzi wa Mzena Hospital na wale Walinzi Wanoko wenye Maswali ya Kukomoa pale Getini Makumbusho? Tumeivumilia hii tabia tumechoka na badilikeni!
Kufa wewe BASI
 
Suala la kuelezea ugonjwa, hususan wa viongozi, lina utata sana.

1. Suala la ugonjwa ni suala la faragha. Nje ya madaktari na familia ya karibu, mtu ana uhuru asiweke habari za ugonjwa wake hadharani. Nchi zilizoendelea kuna sheria maalum zimetungwa kuhakikisha faragha ya mgonjwa inatunzwa.

Mfano ninm shwria ya HIPAA ya Marekani.

Health Insurance Portability and Accountability Act of 1996.

Lakini pia

2. Mtu anapochagua kuwa kiongozi, anachagua kuacha kuishi maisha ya mwananchi wa kawaida na kuyatoa maisha yake yawe ya kuwahudumia wananchi. Kwa hivyo kuna dhana kwamba, kama moja ya nguzo za uongozi kimaadili ni uwazi, viongozi wanawajibika kuwataarifu wananchi pindi wanapopata matatizo ya kiafya. Ni haki ya wananchi kupata taarifa hizi.

Lakini pia.

3. Taarifa hizi, hususan kwa viongozi wa juu kabisa kitaifa, zikitolewa bila tahadhari, zinaweza kuleta matatizo mengine ya kiusalama katika jamii.

Ila, mwisho wa yote.

4. Waswahili walisema, mficha maradhi, mauti humfichua.
 
Hii hospital ni kubwa na ya kisasa kuliko zote Tanzania inatibu viongozi wa serikali. Hata jakaya alipodondoka kwenye kampeni za uchaguzi pale jangwani Mara mbili alikimbizwa na kuletwa pale DMMH pia ina underground basement. Kimsingi huduma za pale ni Kama za John Hopkinson.
 
Nilibahatika kuingia hiyo hospital tulienda kumuona baba wa mshkji wangu alilazwa hapo
Aise hyo hospitali si mchezo ina vifaa vyote vya kisasa
Viongozi wengi hutibiwa hapo hapo kuna madaktari wa viongozi wote
Ngoja tuishie hapa

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Vi
Yah niliingia na familia yake mzee
Na syo mara moja wengine mjini hapa tuna vimsmati mzee

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Kuingia pale makumbusho napo ni kismati?
 
Back
Top Bottom