Hiyo Hosptal nadhani kuna mapungufu ya maarifa ni vyema ubakie kuitwa zahanati tu kuliko kupewa sifa za Hosptal hi hali wengi hukariki hata kwa magonjwa ambayo siyo Hatari kama alivyofariki mkapa kwa njia ya kutatanishaSasa kwanini tu kwakuwa mmeamua Kutuficha Watanzania kuhusu Kulazwa Kwao hapo Mzena Hospital basi hata Wakifa ( Wakifariki ) msiendelee pia Kutuficha kwa Kutotujajia hiyo Hospitali na badala yake muendelee tu na Ratiba zenu za Maziko nyie nyie kama nyie pamoja na Wauguzi wa Mzena Hospital na wale Walinzi Wanoko wenye Maswali ya Kukomoa pale Getini Makumbusho? Tumeivumilia hii tabia tumechoka na badilikeni!
Yes, a presidency is a public position and one who occupies is a public figure. But there is no law that requires a president to reveal her/his sickness to the public. Since it is not required by law, if one does not report well and good but if one reports it even better.Kiongozi si mtu binafsi, ni mtu aliyejivua haki zake za mtu binafsi na kuamua kuwa "public figure".
Angetaka kuwa na faragha ya "mtu binafsi", asingegombea uongozi tungetetea haki zake za faragha.
Waingereza wanasema "You can't eat your cake and have it too".
Yani watu wana uchaguzi wa kuamua, ama wanataka maisha ya faragha, bila ya kuwa viongozi, au wanataka maisha ya uongozi, yasiyo na faragha.
Haitakiwi mtu agombee uongozi na kutoa maisha yake yawe ya huduma kwa wananchi, huduma ambayo inategemea afya yake kuwa nzuri, halafu akipata matatizo ya kiafya atake kufanya faragha afiche.
That is like eating your cake and expecting it to be there. Kama unataka maisha ya faragha, usigombee uongozi.
Ndiyo maana Rais Mstaafu Kikwete alipopata matatizo ya tezi dume aliutangazia ulimwengu. Bila aibu. Namuheshimu sana Kikwete kwa hilo, ingawa kuna matatizo yake mengine ya kuangukaanguka tangu zamani hakuyasema wazi, kwa sababu za kisiasa.
Kama kawaida, viongozi wetu wanajifunza mambo baada ya kutoka madarakani.
Sasa wewe ungependa mtu mwenye kifafa kwa mfano, anayeangukanguka kila mara, agombee urais bila ya kuwaambia watu kwamba ana kifafa na muda wowote anaweza kuanguka jukwaani? Utaona mtu ana haki ya kugombea urais bila kuwataarifu wananchi kwamba ana kifafa? Kwa sababu ni suala la binafsi?
Unapokuwa kiongozi wa nchi, suala la afya binafsi ni suala la usalama wa taifa.
Nyerere aliwahi kusema hili, rais akikohoa tu watu wanaulizana, kile kikohozi cha kawaida au ana kifua kikuu yule?
Karibu mtataka Viongozi wote wapande daladala kwenda kazini Akili za hovyo kabisa. Wewe unatambua heshima kubwa na hadhi za Viongozi pamoja na heshima hizo na wenyewe ni binadamu wanamadhaifu yao inamaana wanahitajika Watu wenye taaluma ya Siri nje ya taaluma ya Udaktari .Hivyo basi tegemea siku zote Viongozi kutibiwa mahali pa Hivyo .Kumbuka kuwa hapo Muhimbili au. Mwananyamala akija kiongozi akifika mpaka baadhi ya huduma huwa zinasimama kwa muda kwa sababu za kiusalama Sasa Leo unataka tulazwe naye Mwananyamala huo ni upeo finyu wa kufikiri.Yaani hata kiongozi akijisikia mafua akaenda zahanati nchi nzima itajua kuwa kiongozi anayo mafua.Hivyo taarifa za matibabu kwa Viongozi kuwa siri kwa Viongozi ni muhimu Sana kuondoa taharuki na hofu kwa wafuasi wao itatolewa tu pale itakapokuwa lazima. Pia nakukumbusha kuwa siyo kila sehemu za Siri ni bora Sana bali Kinachofuatwa ni Usiri tu.Viongozi na viongozi wakubwa wakiumwa hutibiwa hapo mbona kitambo sana tu
Nashangaa sahv watu wanaona big deal
"Ila watu wajitahidi wawe na connection na kujuana na watu fulani mambo kama haya huwezi kukosa jua"
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Mkapa na wengineo akina mtoto wa nyerere na wenzaoNani ka dedi hapo hospitali
Tajiri hupenya popote kwa kutumia pesa zake hata huko akitaka kufika anapenyeza rupia wanafanya atakavyo,βmwenye pesa hashindwi kwa lolotenafikiri kwa suala la usalama wa viongozi kulingana na majukumu yao ya kazi, kivipi? mfano kiongozi ametatua mgogoro wa mtu maskini na tajiri, na tajiri akawa ameshindwa kesi lakini hajafurahisha na adui yake hapo namba moja ni huyo kiongozi msuluhishaji...sasa tajiri anao uwezo wa kumdhuru kiongozi kwa njia tofauti, hivyo usalama elekezi ni muhimu kwa viongozi hasa wa afya zao.
Nachakata tu...
Bima siyo mali ya serekali kusema bima zetu. Bima ni mali ya wachangiaji. Serekali inaisimania tu.Kama wanapokea bima zetu hizi basi ni ya wote
Wajenge zingine huko hukoMkuu baada ya viongozi kuhamia dodoma nayo wataihamisha au inabaki.
Wewe! Kwa hiyo unataka niambia Mzena haina hadhi ya Hospitali bali kituo cha afya na majengo yote yaleHiyo Hosptal nadhani kuna mapungufu ya maarifa ni vyema ubakie kuitwa zahanati tu kuliko kupewa sifa za Hosptal hi hali wengi hukariki hata kwa magonjwa ambayo siyo Hatari kama alivyofariki mkapa kwa njia ya kutatanisha
The Social Contract of leadership is not limited to law. It extends to matters of leadership ethics.Yes, a presidency is a public position and one who occupies is a public figure. But there is no law that requires a president to reveal her/his sickness to the public. Since it is not required by law, if one does not report well and good but if one reports it even better.
Kwani kiongozi akija kuomba kura wewe huteseka na nini kupanga foleni?Hii issue ya Mzena Hospital inazidi ku-trend sana hapa JF bila sababu ya msingi.
Kwani kiongozi akiumwa wewe binafsi unateseka na nini?
Dodoma Ipo Pale Jirani Na MipangoNimekuelewa mkuu,
Naona ipo haja ya kuwa na vitu kama hivyo.
Kwahiyo baada ya serikali kuhamia Dodoma nayo imeshahama au bado itaendelea kuwepo hapo ??
Asante mkuu kwa kunipa shule.Dodoma Ipo Pale Jirani Na Mipango
Sisi tukiugua tunaambiwa twende mwananyamala..hehehehehe
Hivi nao ni watu ee??Akili za chadema Kama wanyama vile.
Kuna mmoja alitangulia ikasemwa tu amefariki kwenye "hospital jijini daresalaam"Embu taja idadi ya visiki waliotibiwa hapo ili tuone kama tumefichwa!
Iko wapi hiyo hospital
Ya Serikali au Private