Kitwa-Mulomoni
JF-Expert Member
- Oct 25, 2016
- 1,779
- 1,119
Hivi wewe unaumwa? Na kama unaumwa, umekwenda Mzena wakakataa kukutibia? Tatizo ni nini? Kwani wakubwa wote wanaumwa? Je! Hospitali hiyo imeanzishwa kuwatibu wakubwa tu? Maswali ni mengi, tupe majibu.Sasa kwanini tu kwakuwa mmeamua Kutuficha Watanzania kuhusu Kulazwa Kwao hapo Mzena Hospital basi hata Wakifa ( Wakifariki ) msiendelee pia Kutuficha kwa Kutotujajia hiyo Hospitali na badala yake muendelee tu na Ratiba zenu za Maziko nyie nyie kama nyie pamoja na Wauguzi wa Mzena Hospital na wale Walinzi Wanoko wenye Maswali ya Kukomoa pale Getini Makumbusho? Tumeivumilia hii tabia tumechoka na badilikeni!