Ni kwanini wadada wengi at 30's age wanaforce sana ndoa au ukajitambulishe kwao?

Ni kwanini wadada wengi at 30's age wanaforce sana ndoa au ukajitambulishe kwao?

Mboka man

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
478
Reaction score
1,647
Tofauti na ladies wengi walio below 29 lakini ladies wengi ktk mahusiano akishafikisha age of 30 anataka akupeleke kwao akakutambulishe au ndoa tena mwingine ana force hatari bila hivyo hamuezi hata kuelewana.

Mimi ni mmoja kati ya watu ambao bi.mdada ananiforce niende kwao akanitambulishe.
 
Kwa walio wengi pindi wakifikisha huo umri tayari wanaanza kuonekana wa kawaida, kwa hiyo wanakua na wasiwasi kama ukimuacha itamchukua muda kumpata mtu mwingine, sasa ili kuzuia hio hali isitokee lazima aanze kukusumbua mfunge ndoa.

Lakini mtu wa age chini ya miaka 27 hawezi mara chache sana kuzungumzia masuala ya ndoa maana anajua hata mkiachana ni rahisi kupata mtu mwingine.

Mwisho kabisa kama unaona huyo anaekulazmisha mfunge ndoa ni mtu sahihi, nakushauri tu fanya hivyo maana ni jambo la kheri pia.
 
Wanawake wa umri huo wanajitambua na wamepitia maisha.Sasa kama upo na mwanamke wa miaka 30 na anajua anachotaka kwanini umpotezee muda wake?

Lazima pia utambue biological clock ya mwanamke ni mfupi akishafika miaka 30 chances za kubeba ujauzito zinapungua na umri unavyozidi kwenda risks zinaongezeka!

Nasisitiza kama mwanamke huna malengo nae usimpotezee muda wake!
 
Back
Top Bottom