mmmmmmh how ? maana nimewahi kuwa na demu mmoja chuoni wa kichaga alichokuja kunitendea hadi nilisahau na jina langu la ubatizo daaaaah
Wanawake tuna huruma sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawake tuna huruma sana
Kwa sababu haupo active kama mimi...I was never gone!Au kwasababu sipo active kama wewe?Thnx anyway!
Hahahaaaa nipo isevyaaUko mboka ipi?
WAPE HAI HAPO MATANKINI KILOLENI.....!
hiyo manzi kama ume mwelewa oa, ila kama huja muelewa achana nae.
MIM MWENYEWE NILISHA WAHI KUDAKA DENT WA UHAZILI HAPO, MDOGO KIUMBO, KUJA KUANGALIA YA BIMA ANA 32.YRS NIKALA KONA KALI.
Now alisha zalishwa na dogo mmoja mjeda, WANAISHI UZUNGUNI hapo jirani na Tumbaku, kama bado hawa ja hamaa!
MM NOW NIKO NA MWINGINE MIKOA YA WATU HUKU.....
usisahau kuleta mrejeshoTofauti na ladies wengi walio below 29 lakini ladies wengi ktk mahusiano akishafikisha age of 30 anataka akupeleke kwao akakutambulishe au ndoa tena mwingine ana force hatari bila hivyo hamuezi hata kuelewana
Mimi ni mmoja kati ya watu ambao bi.mdada ananiforce niende kwao akanitambulishe
sentensi mbili za mwisho umemaliza kila kituWanawake wa umri huo wanajitambua na wamepitia maisha.Sasa kama upo na mwanamke wa miaka 30 na anajua anachotaka kwanini umpotezee muda wake?
Lazima pia utambue biological clock ya mwanamke ni mfupi akishafika miaka 30 chances za kubeba ujauzito zinapungua na umri unavyozidi kwenda risks zinaongezeka!
Nasisitiza kama mwanamke huna malengo nae usimpotezee muda wake!
Duuuuuhwanawake wajinga na wapumbavu sana
hahahahaha
Kwa taarifa yako hata mwanaume ana expiry date from 35 kwenda juu mbegu zinapungua na zinaanza kudumaa hazina capability ya kuogelea haraka kama ulivyokuwa kwenye 20's hazipo efficient na effective kumaanisha uwezo wa kumimbisha hupungua au unampa mtu mimba zinaharibika!Ndio maana unaona ni trend unakuta mwanamke yupo 35+ anazalishwa na kjana wa 25 kwasababu warika lake mambo yanaweza yaende bila bila!Au mwanaume umri ulosogea awe na mwanamke younger,ile younger part inakuwa kama catalyst!Huwa wanakimbizana na Expire date, maana wakigonga miaka 40 ndio ujue wameshaexpire hivyo. Ni kama dakika za majeruhi kwenye mpira halafu timu iko nyuma kwa magoli, hakuna kupoteza muda tena.
HA![emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]Kwa taarifa yako hata mwanaume ana expiry date from 35 kwenda juu mbegu zinapungua na zinaanza kudumaa hazina capability ya kuogelea haraka kama ulivyokuwa kwenye 20's hazipo efficient na effective kumaanisha uwezo wa kumimbisha hupungua au unampa mtu mimba zinaharibika!Ndio maana unaona ni trend unakuta mwanamke yupo 35+ anazalishwa na kjana wa 25 kwasababu warika lake mambo yanaweza yaende bila bila!Au mwanaume umri ulosogea awe na mwanamke younger,ile younger part inakuwa kama catalyst!
Unajifariji sio dume hata ufikishe 60unakuwa bado upo mwakeKwa taarifa yako hata mwanaume ana expiry date from 35 kwenda juu mbegu zinapungua na zinaanza kudumaa hazina capability ya kuogelea haraka kama ulivyokuwa kwenye 20's hazipo efficient na effective kumaanisha uwezo wa kumimbisha hupungua au unampa mtu mimba zinaharibika!Ndio maana unaona ni trend unakuta mwanamke yupo 35+ anazalishwa na kjana wa 25 kwasababu warika lake mambo yanaweza yaende bila bila!Au mwanaume umri ulosogea awe na mwanamke younger,ile younger part inakuwa kama catalyst!
Vip ww tayar umeshaolewaWanawake wa umri huo wanajitambua na wamepitia maisha.Sasa kama upo na mwanamke wa miaka 30 na anajua anachotaka kwanini umpotezee muda wake?
Lazima pia utambue biological clock ya mwanamke ni mfupi akishafika miaka 30 chances za kubeba ujauzito zinapungua na umri unavyozidi kwenda risks zinaongezeka!
Nasisitiza kama mwanamke huna malengo nae usimpotezee muda wake!
Ndio una jingine?Vip ww tayar umeshaolewa
Nasema ukweli sayansi inavyosema!!Facts! kila kitu kinaenda na umri!Unajifariji sio dume hata ufikishe 60unakuwa bado upo mwake
😂 😂 😂Kimbia brother,,ukijitambulisha mkafunga ndoa baada ya muda wanawatafuta ma x wao Kisha wanaendeleza yao (Ingawa sio wote )