Kwa walio wengi pindi wakifikisha huo umri tayari wanaanza kuonekana wa kawaida, kwa hiyo wanakua na wasiwasi kama ukimuacha itamchukua muda kumpata mtu mwingine, sasa ili kuzuia hio hali isitokee lazima aanze kukusumbua mfunge ndoa.
Lakini mtu wa age chini ya miaka 27 hawezi mara chache sana kuzungumzia masuala ya ndoa maana anajua hata mkiachana ni rahisi kupata mtu mwingine.
Mwisho kabisa kama unaona huyo anaekulazmisha mfunge ndoa ni mtu sahihi, nakushauri tu fanya hivyo maana ni jambo la kheri pia.