Ni kwanini wadada wengi at 30's age wanaforce sana ndoa au ukajitambulishe kwao?

Wewe umemwambia unataka kumwoa? Kama ndio kwann huendi kujitambulisha? Kama siyo yeye katoa wapi hayo mawazo ya ndoa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maswali ya msingi sana haya
 
Aisee!
 
Anakufosi vipi mkuu inamaana huna future nae hadi useme anakufosi?
 
Uko mboka ipi?
WAPE HAI HAPO MATANKINI KILOLENI.....!

hiyo manzi kama ume mwelewa oa, ila kama huja muelewa achana nae.

MIM MWENYEWE NILISHA WAHI KUDAKA DENT WA UHAZILI HAPO, MDOGO KIUMBO, KUJA KUANGALIA YA BIMA ANA 32.YRS NIKALA KONA KALI.

Now alisha zalishwa na dogo mmoja mjeda, WANAISHI UZUNGUNI hapo jirani na Tumbaku, kama bado hawa ja hamaa!

MM NOW NIKO NA MWINGINE MIKOA YA WATU HUKU.....
 
at 30 jua linazama. haswa kama hana mtoto kabisa anaona kama unampotezea muda. thats why wana force sana
 
Uko sahihi. Cutting edge ya mwanamke kushika mimba bila mbinde na kujifungua salama bila makompulikesheni mengi ni 35. Akishavuka hapo ni pata potea. Miaka 30+ kwa mwanamke ni muda umesonga sana hasa ukizingatia kuwa mabinti warembo wabichi wengi tu wanaingia mtaani kila mwaka. It is time to panick ila ukibahatisha ambaye ameamua kutulia katika umri huu ndiyo hasa wanakuwa wife material kwa sababu ujinga wote alishafanya na maisha anakuwa anayajua sawasawa. Labda uwe unatafuta bikra kama Jokajeusi. Hapo inabidi urudi huko kwenye 18 - 22 [emoji2211][emoji2211][emoji2211][emoji2211]
 
Wanasahau wao wana biological clock,,na their freedom ina expire date, as women grow older what matters kwao sana ni, having their own family,, so kwa 30 anakuwa na hamu hyo sana so atafanya anachojua mkule oath ajihakikishie ushindi
 
Huo umri utoto na usichana unakuwa umeanza kaisha sasa anajihis anatakiwa kuwa mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…