Ni kwanini wadada wengi at 30's age wanaforce sana ndoa au ukajitambulishe kwao?

Hahahaaaa nipo isevyaa
 
usisahau kuleta mrejesho
 
sentensi mbili za mwisho umemaliza kila kitu
 
Yani hadi anafikisha 30 hajaolewa? Mda wote huo alikuwaga anafanya nini?
Hakikisha ni bikra safi tofauti na hapo utaimba kila aina ya pambio.
 
Ahahaaaaa kawaida mzeee si unajua aki delay zaidi ya hapo menopause iyooooooo
 
Huwa wanakimbizana na Expire date, maana wakigonga miaka 40 ndio ujue wameshaexpire hivyo. Ni kama dakika za majeruhi kwenye mpira halafu timu iko nyuma kwa magoli, hakuna kupoteza muda tena.
 
Huwa wanakimbizana na Expire date, maana wakigonga miaka 40 ndio ujue wameshaexpire hivyo. Ni kama dakika za majeruhi kwenye mpira halafu timu iko nyuma kwa magoli, hakuna kupoteza muda tena.
Kwa taarifa yako hata mwanaume ana expiry date from 35 kwenda juu mbegu zinapungua na zinaanza kudumaa hazina capability ya kuogelea haraka kama ulivyokuwa kwenye 20's hazipo efficient na effective kumaanisha uwezo wa kumimbisha hupungua au unampa mtu mimba zinaharibika!Ndio maana unaona ni trend unakuta mwanamke yupo 35+ anazalishwa na kjana wa 25 kwasababu warika lake mambo yanaweza yaende bila bila!Au mwanaume umri ulosogea awe na mwanamke younger,ile younger part inakuwa kama catalyst!
 
Funga ndoa mkuu maisha yaendelee kama huna mpango naye mwambie ukweli usimpotezee muda wake.
 
HA![emoji23][emoji23][emoji23][emoji3]
 
Unajifariji sio dume hata ufikishe 60unakuwa bado upo mwake
 
Vip ww tayar umeshaolewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…