Ni kwanini wadada wengi at 30's age wanaforce sana ndoa au ukajitambulishe kwao?

Yaani utamu tupate wote halafu mmoja ndio apotezewe muda hiyo sio haki kabisa [emoji28]
 
Kuna mmoja anafosi nimuoe na ananitishia kwamba machozi anayoyatoa hayaniacha salama as if Mungu ni mali yake peke yake.
Kama umemchunguza na unaona anakufaa na tabia zake ni stahimilivu na unaona future nae OA mkuu.. mwisho wa siku hakuna mtu amabyae ni perfect 100%. Kikubwa kama ni yeye ndio anakupenda zaidi hutapata tabu kwenye mahusiano yako
 
Hafai kwa kila kitu.Nmekaa nae kwa miez mitatu tu naona kama miaka mitatu.
 
30's and above ndio machweo yenyewe... Kuforce muhimu
 
Unajifariji sio? Endelea kupata faraja.
 
ndoa nyingi sasa hivi unazOziona ni shinikizo toka kwa dungayembe na akikuta we mshamba wa mapenzi ndo hivyo unaoa!chunguza uone utakuja kuniambia WORD UP!
 
Umenena vyema, kunywa soda hapo.
 
Dada unapambana sana kutupinga [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Alikuwa wap tokea 20-29? Ajiandae kuwa single maza maana ndo new fashion
 
Alikuwa wap tokea 20-29? Ajiandae kuwa single maza maana ndo new fashion
We unafikiri alikuwa wapi? jua kama sio watu wote wanaweka ndoa priority katika umri huo wengine wanajijenga,wanajielimisha wana miradi yao ya kujenga maisha na pia wanatafuta mtu sahihi kwani kila mwanaume wa kuolewa nae?

Na si kila mtu anayeolewa katika umri huo uloutaja labda hao wanaotegemea mwanamume wawafanyie kila kitu lkn mwanamke anayejitegemea walio wengi wanakuwa stable na tayari kujenga familia wakigonga 30!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…