Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Nilidhani neno kuFELI ni kupata 0' kumbe bado sijui.
Kufeli ni kukosa vigezo flani, ukiwa huna vigezo vyakwenda kusoma udaktari tu nasema umefeli kwenye cutting point ya udaktari, ukiwa huna vigezo vya kwenda kusoma sheria let say umesoma HKL Lakini history una F tunasema umefeli kukidhi vigezo vya kwenda kusoma sheria maana history una F, English una E halafu kiswahili una A kwahiyo japo una three naumepata Chet lakini haikupi credit ya kwenda kusoma sheria. Sasa yote hayo ukiona umefeli ndounaenda kusoma ualimu tu.
 
Kama sijasahau katika kitabu A man of the People kuna sehemu ilikuwa inamuelezea aina ya ndege wamemuita "Chichidodo" kwasababu ya tabia yake ya kukichukia kinyesi chake then baada ya muda kupita anakula wadudu wanaotokana na kile kinyesi chake,,, kwahio anasurvive kutokana na chakula anachokipata kwenye kinyesi chake anachokichukia sana...

Sasa wewe ni sawa na Chichidodo ikiwezekana badili ID kabisa maana mawazo yako hata under18 huwezi mkuta anawaza hivi... Either ulikosa malezi ya shuleni ukapata ya nyumbani ama na nyumbani ulikosa pia,,, Kwa thread yako hii ni dhahiri wewe ni wa kwanza kwenye class la vilaza!
 
Nakuunga mkono mleta mada hata wakati tupo vyuo BAED ndio walikuwa wasumbufu hatari
Mimi nimeweka kila kitu wazi lakini wananijia juu ila nashukuru waelewa kama nyinyi mpo kunisaidia, yani walimu ni wasumbufu every angle, ukienda benki, ukienda kwenye majukwaa ya ajira, ukienda kwenye kuomba kazi za mda mfupi kama sensa, ukienda mavyuoni Chunguza wanaosomea ualimu. Lakini wanalakujifunza kupitia huu uzi.
 
Hili liGOGO la Mpwayungu ndanindani hukoooo ni lipumbavu sana
 
Watoto mnaosubiria ajira mna maneno ya shombo sana! Ona sasa!! Kupitia haya maelezo yako, ni wazi kabisa utakuwa unaishi kwa kaka/dada yako! Huku ukila na kulala bure. Na baada ya chakula, lazima useme "Shemeji asante kwa chakula"

Ukipewa hela ya bando na huyo shemeji yako mwalimu, badala ya kumsifia kwa upendo wake wa kukulisha wewe jitu zima! Eti unakuja tena kumponda humu jukwaani!

Mimi ndiyo maana sikai na litoto livivu la mtu nyumbani kwangu. Ukikaa kwangu hata huo muda wa kuchat humu jukwaani, hutaupata kudadek zako.

Maana nitakutumikisha kama punda, mpaka akili ikukae sawa. Hakuna chakula cha bure mezani.
 
Umenikera sana maana nimefunzwa na WALIMU [emoji34][emoji34][emoji34][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji2959][emoji35][emoji35][emoji35][emoji35]
Sio shida, kufunzwa na walimu haitufanyi tusiwarekebisha, ukosoaji ni njia salama salama yakumrekebisha mtu.
 
Unakumbuka alienda Kilwa masoko kutafuta kazi ya KUFUNDISHA?

Kidagaa akamnyoosha,
"Imeisha hiyooooo........ .."
 
Huyo kilaza nae ni CHICHIDODO tu kama mwenzake mleta thread na wengine wanaowafata.... Huwezi kuishi kwa DADA ukawa na akili timamu[emoji3]
 
Huyo kilaza nae ni CHICHIDODO tu kama mwenzake mleta thread na wengine wanaowafata.... Huwezi kuishi kwa DADA ukawa na akili timamu[emoji3]
Huwezi jua labda alienda kusalimia, mtabaki hivyo hivyo kudharaulika
 
Unasema Kufeli ni kukosa vigezo fulani, Wakati huo unasema Ukifeli unaenda kusomea Ualimu, aisee!! Kivipi yani?

Ukiwa na Cut-off points za kusomea Ualimu, unakuwa umefeli, lakini ukiwa na za kusomea Udaktari unakuwa umefaulu.

[emoji3][emoji3] Lakini si unasoma unachoandika brother? Ama unfanyaje fanyaje? Nieleweshe kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…