Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Sababu moja ni kwakuwa kipato chao ni kidogo cha mshahara...

Pia hawajipendi, mavazi yao yapoyapo...

Ila wanamchango mkubwa sana ktk kuendeleza elimu za watoto wetu...
Nguo zao zote nizile zenye marinda, Mala nyingi ni suruali za fundi cherehani wa kibongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawanunui suruali Dukani, wananunua kitambaa wanapeleka tailoring
 
Sababu moja ni kwakuwa kipato chao ni kidogo cha mshahara...

Pia hawajipendi, mavazi yao yapoyapo...

Ila wanamchango mkubwa sana ktk kuendeleza elimu za watoto wetu...
Sijuhi kwa nani walimu hawajijali kwakweli, mtu ana kazi, mshahara n.k ila anavyokaa kaa sasa ndo maana wanadharauliwa
 
Afya ya akili ni tatizo kubwa sana nchini kwetu..kuna namna mtu anaandika unaona kabisa hayuko sawa kichwani,mbaya zaidi wanaofuata kwenye kuchangia nao wanaingia kwenye mtego wa mtoa mada..uko hapa unaandika kwa mbwembwe umesahau ni mwalimu ndio kakufanya ujue kuandika.
 
Though mi sio mwl ila mwandishi una chuki binafsi kama sio mtindio wa ubongo kwa taarifa yako wafanyakazi walio chini ya halmashauri mishhara yao inafanana nashangaa una point walimu pekee ...
Wanajipenda kuliko walimu, msimamishe mtendaji kata na mwalimu tuone yupi jamii inamchukulia mtu aliyepoteza tumaini la maisha
 
Back
Top Bottom