Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Eti kukiona cha mtema kuni[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787] hahaha serious!!?Mimi nimewashauri, wakiona ushauri hauwafai Sawa ila wacha waendelee kukiona cha mtema kuni ili wa jifunze. Watakuja nikumbuka
We dogo utakuwa una matatizo ya akili
Kati yako wewe na hao walimu nani anakiona cha mtema kuni huko kitaa!? [emoji2] Geez!!
kwanza umeshamaliza ile bachelor yako ya education in psychology au ile adult education. Au udms walikutema[emoji1787]!?