Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Mimi nimewashauri, wakiona ushauri hauwafai Sawa ila wacha waendelee kukiona cha mtema kuni ili wa jifunze. Watakuja nikumbuka
Eti kukiona cha mtema kuni[emoji2][emoji2][emoji2][emoji1787] hahaha serious!!?

We dogo utakuwa una matatizo ya akili

Kati yako wewe na hao walimu nani anakiona cha mtema kuni huko kitaa!? [emoji2] Geez!!

kwanza umeshamaliza ile bachelor yako ya education in psychology au ile adult education. Au udms walikutema[emoji1787]!?
 
Subiri waje wakutukane.
Humu wengi ni walimu , so tarajia uzi kujaa post.
Yaani posho ya Headmaster inazidiwa na posho yangu Mimi mlinzi.
Note: Taasisi nyingi zina watumishi wenye hali mbaya, sema walimu kwasababu ya wingi wao ndio huonekana zaidi
 
Nilikua sijui Kama na ww ni mwalimu.
Ndio maana akili zimekaa upande
 
Sasa nyie mnasubiri mpaka tar 30 mjazane kwenye ATM
Yes, naona umehama sasa baada ya kuelewa. Umetoka kushambulia taaluma na watu wake, umerudi kwenye kuongeza kipato jambo ambalo kwa sasa, kila mtu wa kada fulani anafanya. Ni kitu cha kawaida.
 
Wala usipate shida, wao wenyewe wakia peke yao wanakubali walienda kwenye ualiu kwa kuwa walifeli form four au form six
 
Toa fact, elimu haijanikomboa kivipi, Kuna utofauti mkubwa uliopo Kati ya elimu na akili. Ni bora nikose elimu ila akili ninayo. Muone kabudi ni professor wa sheria lakini akili zake ni kama mtoto wa darasa la saba.
Dogo wewe kichwani hamna kitu ama hio akili unayodhani bado unayo kumbe imeshakuacha imeondoka zake umebaki mwenyewe na mawazo yako mgando.

Tukiachana na siasa za mzee Kabudi unadhani kwa mawazo yako (sio akili yako maana akili huna) unadhani unaweza kuargue nae kuhusu jambo lolote lile kuhusu hiko unachokisomea? Hakuna

Soma na wewe uwe professor wa sheria alafu uone kama jamii itakuongelea kwa jambo lolote lile,,, haiwezekana sababu akili huna...

Wacha kucompare professional na lifestyle...
 
Wew mwenyew hujitambui ujasiri unautoa wapi wa kutaka walimu wajitambue shida ya kuwa jobless kuanza kuchunguza maisha ya wtu maana umeandika maelezo Hadi ynachosha huo mda uliokuwa unatumia kuchunguza upuuzi ungekuwa unakazi za kufanya usingeupata
Kazi aipate wapi labda akashikwe traako na qahindi kule kiwalan kwa dada yake
 
Huyu fala ndo wakumla nd..og..o mwanae ili akili imkaae sawa shwain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…