Ni kwanini walimu wanadharaulika sana mitaani?

Sidhani kama in busara kuandika hivi, hata kama in kweli ila huna adabu, sio kila kitu cha kuandika hapa, kinywa cha mpumbavu hunena uchafu.


Nenda Cambridge international schools ujue hao unaowaita low IQ uone wanalipwa $ngapi ndo uju upayuke hapa.
 
Huwa una bifu fulani kali na walimu.Nimekuona unawatukana toka kwenye lile jukwaa la 'sensa'.Labda pengine umeona wanakunyima nafasi ya kuchaguliwa kuwa karani.
Sio vema.Heshimu taaluma za watu.Bila waalimu hakuna ambaye angefika mahali alipo sasa.Kama wewe unawaona wa ovyo wengine maisha yetu ya masomo yalipiganiwa na wao wakati wazazi wetu wapo mbali.
Sijaupenda uzi wako!
 
Upo sahihi, ila hiyo shule unayosema Chunguza kama walimu ni wabongo, nazungumza natives
 
Mnawashambulia sana walimu hasa wiki hizi, elimu anayopata mwalimu kwa miaka yote akiwa chuoni ni ya nini?
 
Naona mnakuja kwa speed ya umeme [emoji1787]
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Chunguza mkuu utakuja kunipa kongore
Natamani siku moja waalimu wasiwe wanawafuatilia watoto,, yaani wawaache tu hata wakifanya makosa

Wasi improvise kama kuna shortage ya waalimu,,, watumie dk 120 kwa wiki kufundisha kama muongozo wao unavyowataka

Wasitumie energy kubwa kufundisha,,

Wakae muda standard wa serikali kazini from saa 2-9

Wasichukue nafasi ya mzazi au mlezi,,(mind their own busines)

Wafundishe kwa pace ya syllabus zao

Wagome kufundisha kwenye mazingira hayo mabovu ya kazi waliyonayo

Wafanye hvo kwa miaka 3 mfululizo Nione nn kitatokea[emoji848][emoji848]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…