GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwenye sekta hii sijui kituKama kawaida najua hapa JamiiForums kuna Watu Wajuvi ( Pundits ) kabisa wa Mambo haya na mbalimbali hivyo hamtoshindwa 'Kunielimisha' Mimi Ngumbaru ( Layman ) niliyetukuka.
Sina uhakika sana ila nimewahi kuona mahala ( katika Bandiko ) kuwa Majasusi ( Manjagu ) wa nchi ya Rwanda 'wanaogopeka' mno Ukanda huu kwakuwa Rwanda imeingia Makubaliano 'Maalum' ya kupeleka huko Watu wake ili 'wakapikwe' na 'wakaivishwe' vyema na Wayahudi ambao inasemekana kuwa ndiyo 'Mama' wa Sekta hii duniani.
Kumbe hata Wewe hujui kama Mimi pia?Kwenye sekta hii sijui kitu
Shikamoo sana na mno tu Mkuu wangu.Israel ilianza ujasusi toka miaka 4000 kabla ya Yesu[KK] hivi, pale Musa alipomtuma Caleb na wenzie kuipeleleza Canaan. Leo [ 2021] wana miaka 6000 hivi ya uzoefu, na damu yao ina vinasaba vizuri sana kwenye upelelezi. Hao FBI, Scotland Yard, KBF, na wengine, wanaheshimu na kufuata hatua zao ili wawe bora zaidi.
Labda kwa sababu MOSSAD ni shirika hatari sana la kijasusi.Kama kawaida najua hapa JamiiForums kuna Watu Wajuvi ( Pundits ) kabisa wa Mambo haya na mbalimbali hivyo hamtoshindwa 'Kunielimisha' Mimi Ngumbaru ( Layman ) niliyetukuka.
Sina uhakika sana ila nimewahi kuona mahala ( katika Bandiko ) kuwa Majasusi ( Manjagu ) wa nchi ya Rwanda 'wanaogopeka' mno Ukanda huu kwakuwa Rwanda imeingia Makubaliano 'Maalum' ya kupeleka huko Watu wake ili 'wakapikwe' na 'wakaivishwe' vyema na Wayahudi ambao inasemekana kuwa ndiyo 'Mama' wa Sekta hii duniani.
Israel ilianza ujasusi toka miaka 4000 kabla ya Yesu[KK] hivi, pale Musa alipomtuma Caleb na wenzie kuipeleleza Canaan. Leo [ 2021] wana miaka 6000 hivi ya uzoefu, na damu yao ina vinasaba vizuri sana kwenye upelelezi. Hao FBI, Scotland Yard, KBF, na wengine, wanaheshimu na kufuata hatua zao ili wawe bora zaidi.
Najua wapi unataka kunipeleka, lakini Mimi nakupa jibu moja tu, Kubali Myahudi katuzidi uwezo wewe na mimi katika Historia na maarifa. Karibu ugali ndugu, kama umefunga nisamee na funga njema.Nchi ya Israel imeanzishwa mwaka 1948 kwa hisani ya Uingereza.
Nasubiri wajuvi wa intelejensia watujuvyeKumbe hata Wewe hujui kama Mimi pia?
Najua wapi unataka kunipeleka, lakini Mimi nakupa jibu moja tu, Kubali Myahudi katuzidi uwezo wewe na mimi katika Historia na maarifa. Karibu ugali ndugu, kama umefunga nisamee na funga njema.
Tanzania [Tanganyika then], ilipata uhuru 1961, lakini haimaanishi ya kwamba haikuwai kuwepo huko nyuma[ Kumbuka Chifu Mangungo wa Msovero morogoro alivyoiuza nchi kwa Carl Peters wa Ujerumani miaka ya 1884]. China ilipata Uhuru 1944, toka kwa Wajapani lakini China ilikuwepo toka miaka mingi nyuma. Hivyo hivyo kwa Israel, Miaka 4000 BC walikuwa {Israel}Canaan, alafu wakaenda Misri, then wakarudi { Israel} Canaan, alafu Wakachukuliwa na kutawaliwa na Babuloni na Waamedi[ Iraq, kuwait na Iran], Alafu wakarudi Israel {Canaan}, Alafu wakatawaliwa na kuchukuliwa na Warumi hadi Ulaya ya leo. Hao Waingereza mwaka 1948 walipiga muhuri tu Zion {Sayuni} arudi pale Israel. Kama Waingereza wasingefanya hivyo basi, Mungu mwenyewe angewarudisha hata kwa unyakuo. USICHEZE NA BARAKA ZA MUNGU NDUGU YANGU.
"Wakaenda misri then wakarudi" kuna tatizo kidogo hapa mkuu.Tanzania [Tanganyika then], ilipata uhuru 1961, lakini haimaanishi ya kwamba haikuwai kuwepo huko nyuma[ Kumbuka Chifu Mangungo wa Msovero morogoro alivyoiuza nchi kwa Carl Peters wa Ujerumani miaka ya 1884]. China ilipata Uhuru 1944, toka kwa Wajapani lakini China ilikuwepo toka miaka mingi nyuma. Hivyo hivyo kwa Israel, Miaka 4000 BC walikuwa {Israel}Canaan, alafu wakaenda Misri, then wakarudi { Israel} Canaan, alafu Wakachukuliwa na kutawaliwa na Babuloni na Waamedi[ Iraq, kuwait na Iran], Alafu wakarudi Israel {Canaan}, Alafu wakatawaliwa na kuchukuliwa na Warumi hadi Ulaya ya leo. Hao Waingereza mwaka 1948 walipiga muhuri tu Zion {Sayuni} arudi pale Israel. Kama Waingereza wasingefanya hivyo basi, Mungu mwenyewe angewarudisha hata kwa unyakuo. USICHEZE NA BARAKA ZA MUNGU NDUGU YANGU.