Ni kwanini waliotajwa kutafuna mabilioni ya pesa ya walipa kodi na CAG, hawachukuliwi hatua za kisheria?

Majaliwa alisema Hazina wanaume wamepiga 2B ndani ya siku 2 akaunda tume mpaka leo haijulikani
 
Ripoti ya CAG na mapendekezo yake hayatekelezwi kwa sababu ya udhaifu wa bunge.

Bunge ambalo linaisaidia serikali badala ya kuisimamia.

Hivi wabunge wetu nani aliyewaambia kazi yao ni kuisaidia serikali.
 
Hatua zinachukuliwa

Kama huamini jaribu kufanya upigaji ama tafuta wahusika wa huo upigaji uone kama wako salama


Nadhani labda wawe wanatangaza ili umma ujue
 
Hatua zinachukuliwa

Kama huamini jaribu kufanya upigaji ama tafuta wahusika wa huo upigaji uone kama wako salama


Nadhani labda wawe wanatangaza ili umma ujue
Hatua zipi zinachukuliwa?

Usitugeuze sisi ni watoto wadogo, wa kuweza kutudanganya unavyotaka🥺
 
Labda huwa zinapigwa na kuwekwa kwa ajili ya kampeni who knows?
Labda wamepangiana nani ale wapi na lini
Na Labda kuna Orodha kabisa ya waibaji
Yaani wao wanapewa kwa ajili ya miradi huku wanaambiwa msifanye chochote hizo tumeandika hewa tu

Kwa kweli huwa najiuliza na kutunga mengi kama kichaa vile
Haiwezekani eti kiongozi anakuja anasema
Eti hili ndio jengo la 600m?
Takukuru mchukueni huyo
Hadithi imeishia hapo kapewa lift na taku wakimlinda
 
Watendaji wanaenda kukaangwa kwa moto wa kuyeyusha chuma. Hasa wale waliokuwepo enzi ya jiwe. Tuombe Mungu wasiumizwe wasiohusika na huo upigaji unaotajwa.

MAGUFULI CABAL aka SUKUMA GANG are going to suffer a literal obliteration

God bless you.
 
Tangu lini fisadi anafungwa, jela ni kwa ajili ya watu masikini
 
Miisteeseri
Umepata jibu la Swali lako? au bado ni Porojo kama za wanasiasa wengi?
 
Tusubiri mchakato mzima wa ripoti ili tuweze kuridhika na ukaguzi, unaoendelea
 

Pascal Mayalla naona hawa mchwa toka uhuru wa taifa hili wapo na wanaendelea kula mbao ya taifa na wewe ulionyesha nia ya dhati kugombania ubunge kwenda kuwapa support au kuzima harakati zao
 
Ripoti za CAG ni getesha tu ni mpango mwingine wa kutafuna hela
 
Hahahaa
 
Taarifa.
Mchwa ni wafanisi. Piga ua

WanaoEndelea kuwashabikia.

...nao wataendelea kuhuzunika na wivu tu.
.tafuta maharifa ya kweli yasiyo na shurumati halafu utajipenda na kupenda Mchwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…