Baba Swalehe
JF-Expert Member
- Jun 6, 2017
- 20,178
- 39,641
Wewe kijana kwanini hujaitaja Totenham na ilikua ya kwanza kufungwa?mara ooh leo sikupi kisa timu yake arsenal imefungwa !! [emoji14]
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah, we angalizia hukohuko lwako tuu[emoji23][emoji23] kila mtu aangalizie kwake
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahWewe kijana kwanini hujaitaja Totenham na ilikua ya kwanza kufungwa?
Upande mmoja akili zipo upande mmoja zimelala....am man utd fan and simba...karibu kwenye group letu kongwe la whatsapp na kubwa la masusla ya mpira tu, if interested.!Kuwa mpenzi wa club fulani haikuweki wewe kwenye position ya kuwa na akili kuliko wengine. Ni mapenzi ya dhati na ya ukweli.
Mimi ni fan wa manchester united na dar young africans
Halla
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahah kichwa chako. Huko mikiani muna habari gani. Kwa huko kwa kweli not now. Next time my diaUpande mmoja akili zipo upande mmoja zimelala....am man utd fan and simba...karibu kwenye group letu kongwe la whatsapp na kubwa la masusla ya mpira tu, if interested.!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hataaa. Kila mtu aangalizie kwake tuu kwakweliwewe wataka tubishane na kupena ma tactics kupitia marimba ya mzungu tena hahahhaa
Na wenye uwezo wa kumchapa asenane bao 8 na heshima ni sisi united peke yetuHahah
Arsenane katimu flani hivi kenye vijana wahini wahun wanaoongozwa na mhun mwenzao umai
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ukitaka kupima uwez wa washambuliaji wako , cheza na arsenal !!!Na wenye uwezo wa kumchapa asenane bao 8 na heshima ni sisi united peke yetu
Sent using Jamii Forums mobile app
aah wapi... nyie mumeshindwa tufunga mo akiwepo basi tenaaaMkuu ukitaka kupima uwez wa washambuliaji wako , cheza na arsenal !!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ishiiii..! Demu mwenyewe wa Manchester united..!Yaani huwa wanaume wanapenda tutuhukumu sana kwa nyanja zifuatazo:
1: Wanaamini hatujui mpira. Yes, ni kweli hatujui sana football kama nyie lakini tuna mapenzi nao pia. Kwanini msitusaidie? Lakini pia wapo pia wanawakewanaoujua zaidi yenu[emoji23][emoji23] hivyo msitunyanyase saana.
2: munaamini kwamba tumeharibikiwa kwa kuwa tunapenda mpira. Yaan munaamini sisi tunastahili kupenda netball tu. Nani anataka kurusharusha manyonyo?[emoji23][emoji23][emoji23] mimi kama mimi sina mapenzi hata chembe na netball. Ila naturally napenda mpira wa miguu toka nina miaka 10. Na zaidi tukiwa primary kulikua na somo kabisa la sports na tulikua tunacheza. Darasani kabisa tunafundishwa na uwanjani wote tunacheza. R.i.p mwalimu wetu wa football Mr. Gastho moshi. Kwahiyo wote tukubaliane tuko wote hapohapo kwa football.
3: wengi wa wanaume wanaamini kwamba sisi tunalazimisha kupenda mpira ili tuweze wacontrol wanaume wetu maybe wasiweze tucheat maana ratiba zote tunazo na apps zimejaa za mpira kwenye masimu yetu[emoji23][emoji23][emoji23] yes, wapo ambao wanafanya hivyo kutetea ndoa zao maana unashangaa siku unaambiwa leo anacheza real madrid ama borrussia dortmund na taifa stars na unakubali hahahahaa kwahiyo ni faida kwetu pia.
Nina kisa kimoja kila nikikumbuka huwa nacheka sana[emoji23][emoji23] kuna siku manchester united ilikua inacheza nadhan na chelsea a while back, sasa niko na ex nikamwomba aniangalizie matokeo livescore, hahahaha nilichenchiwaaa. Nikaambiwa ndo maana mm sipendagi mademu wanaopenda mpira. Hebu ona sasa tuko na mambo yetu unaniletea mambo ya mpira saa hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki ya mungu hamuendi mbinguni. Mtu alikua turned off on the spot. Jamani tueleweni na sisi pia tuna haki ya kupenda football kama nyie.
Salam zangu kwa mashabiki wote wa manchester united na dar young africans.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwakua hata jina la kocha hulijui nakushauri kashabikie Tokomile Ikwiriri.Hahah
Arsenane katimu flani hivi kenye vijana wahini wahun wanaoongozwa na mhun mwenzao umai
Sent using Jamii Forums mobile app
halafu hebu kuwa na heshima bwana. usiniite tena demu, call me hata dada bwana.Ishiiii..! Demu mwenyewe wa Manchester united..!
Pole nakutania ila ata mie sina mzuka na demu mpenda mpira anaboa huwa wengi wenu mna mambo ya kiume mno.
Sent using Jamii Forums mobile app
asante kwa kuwa positive mdauDem mpenda mpira huwa anakua zaidi ya mpenzi nikama.mshikaji yaan na anakua na mizuka sana .
Nzuri iyo
Shukran mkuu endelea kuwaelimisha watakuelewaasante kwa kuwa positive mdau
hahaahahaah, inahitaji energy ila tutajitahidiShukran mkuu endelea kuwaelimisha watakuelewa
Sasa jikite ktk kuwaonyesha faida ya mwanamke wako kupenda mpira !!!!
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Kwakua hata jina la kocha hulijui nakushauri kashabikie Tokomile Ikwiriri.
halafu hebu kuwa na heshima bwana. usiniite tena demu, call me hata dada bwana.
na hiyo ni wrong perception. usihukumu generally kwa case ulizokutana nazo