Ni kwanini wanaume munapenda sana kutu-discourage wanawake tupendao football?

Kuna sister mmoja hivi anakutajia first Eleven yote ya Burnley mbaya zaidi hadi wachezaji majeruhi.
 
Hahahahq...

Sifa moja nayoielewa, when u love football then you have passion, u jave feelings. Naamini most of us kutoka hii ground are very understanding.

Sent using Jamii Forums mobile app
No doubt about that. Passion, feelings and understanding.
I enjoy sitting beside a lady who understands football. Judging correctly when its an offside goal, that the striker was selfish to shoot instead of passing to a colleague in a better scoring position. The emotion of celebrating a goal with your neighbor. Such things.
 
Mamanzi wengine wanaipenda Atletico Madrid...kwa kuwa kwenye score box inafupishwa ATM..joking
 
peleka huu utumbo kwenye jukwaa la mapenz..hapa si sehem yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pendomamtefu
Majibu ya watani zetu utayajua tu maadam umesema wewe ni Yanga
 
NAOMBA KUULIZA, NA KUBETI UNABETI MAMA?😳😳
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…