Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
No doubt about that. Passion, feelings and understanding.Hahahahq...
Sifa moja nayoielewa, when u love football then you have passion, u jave feelings. Naamini most of us kutoka hii ground are very understanding.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakuja tumuongelee huyu Ole Gunnar Solkjaer
Hahaha babby assasin? Hapana, usije ukaniua na mm huko pmNakuja tumuongelee huyu Ole Gunnar Solkjaer
Hilo ondoa shaka kabisa mkuu.. rop 4 tunatoboanaona Man u mmerudi, basi sawa tusubiri tuone
Hahahahahaha kwenda zako hukoMamanzi wengine wanaipenda Atletico Madrid...kwa kuwa kwenye score box inafupishwa ATM..joking
peleka huu utumbo kwenye jukwaa la mapenz..hapa si sehem yakeYaani huwa wanaume wanapenda tutuhukumu sana kwa nyanja zifuatazo:
1: Wanaamini hatujui mpira. Yes, ni kweli hatujui sana football kama nyie lakini tuna mapenzi nao pia. Kwanini msitusaidie? Lakini pia wapo pia wanawakewanaoujua zaidi yenu[emoji23][emoji23] hivyo msitunyanyase saana.
2: munaamini kwamba tumeharibikiwa kwa kuwa tunapenda mpira. Yaan munaamini sisi tunastahili kupenda netball tu. Nani anataka kurusharusha manyonyo?[emoji23][emoji23][emoji23] mimi kama mimi sina mapenzi hata chembe na netball. Ila naturally napenda mpira wa miguu toka nina miaka 10. Na zaidi tukiwa primary kulikua na somo kabisa la sports na tulikua tunacheza. Darasani kabisa tunafundishwa na uwanjani wote tunacheza. R.i.p mwalimu wetu wa football Mr. Gastho moshi. Kwahiyo wote tukubaliane tuko wote hapohapo kwa football.
3: wengi wa wanaume wanaamini kwamba sisi tunalazimisha kupenda mpira ili tuweze wacontrol wanaume wetu maybe wasiweze tucheat maana ratiba zote tunazo na apps zimejaa za mpira kwenye masimu yetu[emoji23][emoji23][emoji23] yes, wapo ambao wanafanya hivyo kutetea ndoa zao maana unashangaa siku unaambiwa leo anacheza real madrid ama borrussia dortmund na taifa stars na unakubali hahahahaa kwahiyo ni faida kwetu pia.
Nina kisa kimoja kila nikikumbuka huwa nacheka sana[emoji23][emoji23] kuna siku manchester united ilikua inacheza nadhan na chelsea a while back, sasa niko na ex nikamwomba aniangalizie matokeo livescore, hahahaha nilichenchiwaaa. Nikaambiwa ndo maana mm sipendagi mademu wanaopenda mpira. Hebu ona sasa tuko na mambo yetu unaniletea mambo ya mpira saa hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki ya mungu hamuendi mbinguni. Mtu alikua turned off on the spot. Jamani tueleweni na sisi pia tuna haki ya kupenda football kama nyie.
Salam zangu kwa mashabiki wote wa manchester united na dar young africans.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli kabisa my dearGreat my dia. May almight bless u with that. Mwanamke wako akitabasamu nawe baraka humiminika zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha ndio mdau. Yanga kindakikindakiPendomamtefu
Majibu ya watani zetu utayajua tu maadam umesema wewe ni Yanga
Muumini wa nini? Mbona wataka kuniharibia mwaka mpya kwa maswali magumu?☹️[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hivi bado ni muumini wa "Sariball"?
Sent using Jamii Forums mobile app
NAOMBA KUULIZA, NA KUBETI UNABETI MAMA?😳😳Yaani huwa wanaume wanapenda tutuhukumu sana kwa nyanja zifuatazo:
1: Wanaamini hatujui mpira. Yes, ni kweli hatujui sana football kama nyie lakini tuna mapenzi nao pia. Kwanini msitusaidie? Lakini pia wapo pia wanawakewanaoujua zaidi yenu[emoji23][emoji23] hivyo msitunyanyase saana.
2: munaamini kwamba tumeharibikiwa kwa kuwa tunapenda mpira. Yaan munaamini sisi tunastahili kupenda netball tu. Nani anataka kurusharusha manyonyo?[emoji23][emoji23][emoji23] mimi kama mimi sina mapenzi hata chembe na netball. Ila naturally napenda mpira wa miguu toka nina miaka 10. Na zaidi tukiwa primary kulikua na somo kabisa la sports na tulikua tunacheza. Darasani kabisa tunafundishwa na uwanjani wote tunacheza. R.i.p mwalimu wetu wa football Mr. Gastho moshi. Kwahiyo wote tukubaliane tuko wote hapohapo kwa football.
3: wengi wa wanaume wanaamini kwamba sisi tunalazimisha kupenda mpira ili tuweze wacontrol wanaume wetu maybe wasiweze tucheat maana ratiba zote tunazo na apps zimejaa za mpira kwenye masimu yetu[emoji23][emoji23][emoji23] yes, wapo ambao wanafanya hivyo kutetea ndoa zao maana unashangaa siku unaambiwa leo anacheza real madrid ama borrussia dortmund na taifa stars na unakubali hahahahaa kwahiyo ni faida kwetu pia.
Nina kisa kimoja kila nikikumbuka huwa nacheka sana[emoji23][emoji23] kuna siku manchester united ilikua inacheza nadhan na chelsea a while back, sasa niko na ex nikamwomba aniangalizie matokeo livescore, hahahaha nilichenchiwaaa. Nikaambiwa ndo maana mm sipendagi mademu wanaopenda mpira. Hebu ona sasa tuko na mambo yetu unaniletea mambo ya mpira saa hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki ya mungu hamuendi mbinguni. Mtu alikua turned off on the spot. Jamani tueleweni na sisi pia tuna haki ya kupenda football kama nyie.
Salam zangu kwa mashabiki wote wa manchester united na dar young africans.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha hataaa. Sibeti japo wadogo zangu wananiambia niwe nabet maana naonaga mikeka yao inatikigi mara kadhaaNAOMBA KUULIZA, NA KUBETI UNABETI MAMA?😳😳
MUMEO JE ANABET?Hahahaha hataaa. Sibeti japo wadogo zangu wananiambia niwe nabet maana naonaga mikeka yao inatikigi mara kadhaa
Sent using Jamii Forums mobile app