Ni kwanini wanaume munapenda sana kutu-discourage wanawake tupendao football?

Ni kwanini wanaume munapenda sana kutu-discourage wanawake tupendao football?

Hahahahahahaha u habe made my day. Sindo hapo? Wanajionaga wao tuu. Hawaoni km na siye tuna mioyo

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kwa hali hiyo bora kila mtu abaki kushabikia chake, mbona sisi hatuhangaiki na netball.
Unakuta mwanamke anajua historia ya Man U kuliko hata historia ya familia ya mumewe/mumewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe kuna wanawake wenzangu wanaohusudu mpira kama mimi? Mpira ni moja kati ya hobbies zangu 3...
1.Mpira
2.Korean Series
3.Kusoma vitabu

Historia yangu ya mpira imeanzia mbali sana. Mimi tokea nikiwa mdogo nilikuwa nasakata kabumbu kwelikweli kuzidi hata ndugu zangu wa kiume, lol
Baadae nilipokuwa kidogo mwaka 2000 ndipo nilipojikita rasmi ktk ushabiki wa Yanga na baadae 2003 Arsenal.

Hadi leo hii mpira upo ktk damu yangu. Ni nini utaniambia kuhusu mpira ambacho sikijui?
Hata hao wanaume ambao wanadhani kama mpira ni mchezo wao pekee inabidi awe ‘nondo’ kwelikweli ama la sivyo nitamkalisha hahaaaaa
 
Mimi napenda mpenda mpira sana tu...na wengi in hivyo ila jitahidi ujue mambo mengi sio uwe shabiki maandazi tu.
 
Yaani huwa wanaume wanapenda tutuhukumu sana kwa nyanja zifuatazo:

1: Wanaamini hatujui mpira. Yes, ni kweli hatujui sana football kama nyie lakini tuna mapenzi nao pia. Kwanini msitusaidie? Lakini pia wapo pia wanawakewanaoujua zaidi yenu[emoji23][emoji23] hivyo msitunyanyase saana.

2: munaamini kwamba tumeharibikiwa kwa kuwa tunapenda mpira. Yaan munaamini sisi tunastahili kupenda netball tu. Nani anataka kurusharusha manyonyo?[emoji23][emoji23][emoji23] mimi kama mimi sina mapenzi hata chembe na netball. Ila naturally napenda mpira wa miguu toka nina miaka 10. Na zaidi tukiwa primary kulikua na somo kabisa la sports na tulikua tunacheza. Darasani kabisa tunafundishwa na uwanjani wote tunacheza. R.i.p mwalimu wetu wa football Mr. Gastho moshi. Kwahiyo wote tukubaliane tuko wote hapohapo kwa football.

3: wengi wa wanaume wanaamini kwamba sisi tunalazimisha kupenda mpira ili tuweze wacontrol wanaume wetu maybe wasiweze tucheat maana ratiba zote tunazo na apps zimejaa za mpira kwenye masimu yetu[emoji23][emoji23][emoji23] yes, wapo ambao wanafanya hivyo kutetea ndoa zao maana unashangaa siku unaambiwa leo anacheza real madrid ama borrussia dortmund na taifa stars na unakubali hahahahaa kwahiyo ni faida kwetu pia.

Nina kisa kimoja kila nikikumbuka huwa nacheka sana[emoji23][emoji23] kuna siku manchester united ilikua inacheza nadhan na chelsea a while back, sasa niko na ex nikamwomba aniangalizie matokeo livescore, hahahaha nilichenchiwaaa. Nikaambiwa ndo maana mm sipendagi mademu wanaopenda mpira. Hebu ona sasa tuko na mambo yetu unaniletea mambo ya mpira saa hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki ya mungu hamuendi mbinguni. Mtu alikua turned off on the spot. Jamani tueleweni na sisi pia tuna haki ya kupenda football kama nyie.

Salam zangu kwa mashabiki wote wa manchester united na dar young africans.

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

nasema hivi nitafute fasta kesho tuu mie naleta mahari kwenu uwe mke. yaani mwanamke kama wewe ninatafuta mpaka basi. yaani nakwambia ukiwa na mie tutakuwa tunaongea formation tactics, pressing and counter pessing, numerical speriority , counter attacks yaani lile soccer la darasani sio tuu kupeana live score. alafu niambie wewe wampenda kocha gani maana mie sarri mafegi ....nilikuwa nikiangalia napoli yake mpaka kugegeda naona hakuna dili.
 
Kumbe kuna wanawake wenzangu wanaohusudu mpira kama mimi? Mpira ni moja kati ya hobbies zangu 3...
1.Mpira
2.Korean Series
3.Kusoma vitabu

Historia yangu ya mpira imeanzia mbali sana. Mimi tokea nikiwa mdogo nilikuwa nasakata kabumbu kwelikweli kuzidi hata ndugu zangu wa kiume, lol
Baadae nilipokuwa kidogo mwaka 2000 ndipo nilipojikita rasmi ktk ushabiki wa Yanga na baadae 2003 Arsenal.

Hadi leo hii mpira upo ktk damu yangu. Ni nini utaniambia kuhusu mpira ambacho sikijui?
Hata hao wanaume ambao wanadhani kama mpira ni mchezo wao pekee inabidi awe ‘nondo’ kwelikweli ama la sivyo nitamkalisha hahaaaaa
Hahahaha hongera sanaa sanaaa sanaaa.

Mimi pia napenda
1.biashara
2. Football
3. Travelling and adventure (mother nature)
4. Learning new things hasa ujasusi na dola
japo siko deep sana huko.
5. Korean series.

Football was soo beautiful back then. Nimeupenda kitambo sanaaa. Hata kama akina moyes wananikera najitoa ila still kichinichini naufatilia[emoji23][emoji23] navumilia kimya kimya maumivu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nasema hivi nitafute fasta kesho tuu mie naleta mahari kwenu uwe mke. yaani mwanamke kama wewe ninatafuta mpaka basi. yaani nakwambia ukiwa na mie tutakuwa tunaongea formation tactics, pressing and counter pessing, numerical speriority , counter attacks yaani lile soccer la darasani sio tuu kupeana live score. alafu niambie wewe wampenda kocha gani maana mie sarri mafegi ....nilikuwa nikiangalia napoli yake mpaka kugegeda naona hakuna dili.
Hahahahahahahahaha
Miye ni mpenzi na shabiki wa mpira long time back. Na nimecheza sana shule. Miye my all time coach ni ferguson. Ila pia namkubali sana carlo ancelot maana anajua ijenga team kama family. Nampenda pia cholo wa atletico. Napenda zaidi mpira wa attacking. Napenda counter attacks. Nampenda sana luka moudrich. Daima nimekua mpenz wa sola lake. Nikitizama match ya madrid nikaona mtu anageuzageuza wenzake nasemaga huyo luka tuu[emoji23][emoji23]

kudadadeki...hapa nimepata mke. ebwana mie sio mpenzi sana wa matimu. nilikuwa mpenzi wa italy lakini baada ya lile goli la trezeque euro 2000 niliachaga ushabiki. sasa mie ni nafuatilia sana kazi za makocha ....ni mpenzi sana wa makocha wakitaliano maximilliona allegri, gian piero gasperini kocha wa atlanta na the great Sacchi.

wewe ulikuwa unapiga position gani huko shule? mie nilikuwa fundi mwenyewe namba 8 hahahaha
 
Hahahahahahaha

Kwahiyo mimi nikimpenda ronaldo na kumsifia mbele yako utaumiaaaa... hahahah aisee. Mbona huu wivu umepitiliza. Sasa si mzuri. And yes, tumerudi. Ligi imeanza[emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani hapo kinachoumiza ni kuwa unanidhihilishia kbsa kuwa umekuwa na mm by chance, yani ikitokea CR7 akasema hebu njoo nikutumie chap harafu urudi kwa bwanaako unakubali kiukweli haitubariki kbsa hyo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom