miss pablo
JF-Expert Member
- Jul 9, 2018
- 5,411
- 11,025
- Thread starter
- #141
Hahahaha this is an indirect way of knowing whether am married or not. Hahaha i am mteteaMUMEO JE ANABET?
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha this is an indirect way of knowing whether am married or not. Hahaha i am mteteaMUMEO JE ANABET?
TEHETEHTEH SAWA MWANA YANGA MWENZANGU PAMOJA SANAHahahaha this is an indirect way of knowing whether am married or not. Hahaha i am mtetea
Sent using Jamii Forums mobile app
Haahaaa sawa mwaegooTEHETEHTEH SAWA MWANA YANGA MWENZANGU PAMOJA SANA
POA POA
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Muumini wa nini? Mbona wataka kuniharibia mwaka mpya kwa maswali magumu?[emoji852]️
Umekosa like yangu kwa ujinga wako wa kutaja dar young AfricanYaani huwa wanaume wanapenda tutuhukumu sana kwa nyanja zifuatazo:
1: Wanaamini hatujui mpira. Yes, ni kweli hatujui sana football kama nyie lakini tuna mapenzi nao pia. Kwanini msitusaidie? Lakini pia wapo pia wanawakewanaoujua zaidi yenu[emoji23][emoji23] hivyo msitunyanyase saana.
2: munaamini kwamba tumeharibikiwa kwa kuwa tunapenda mpira. Yaan munaamini sisi tunastahili kupenda netball tu. Nani anataka kurusharusha manyonyo?[emoji23][emoji23][emoji23] mimi kama mimi sina mapenzi hata chembe na netball. Ila naturally napenda mpira wa miguu toka nina miaka 10. Na zaidi tukiwa primary kulikua na somo kabisa la sports na tulikua tunacheza. Darasani kabisa tunafundishwa na uwanjani wote tunacheza. R.i.p mwalimu wetu wa football Mr. Gastho moshi. Kwahiyo wote tukubaliane tuko wote hapohapo kwa football.
3: wengi wa wanaume wanaamini kwamba sisi tunalazimisha kupenda mpira ili tuweze wacontrol wanaume wetu maybe wasiweze tucheat maana ratiba zote tunazo na apps zimejaa za mpira kwenye masimu yetu[emoji23][emoji23][emoji23] yes, wapo ambao wanafanya hivyo kutetea ndoa zao maana unashangaa siku unaambiwa leo anacheza real madrid ama borrussia dortmund na taifa stars na unakubali hahahahaa kwahiyo ni faida kwetu pia.
Nina kisa kimoja kila nikikumbuka huwa nacheka sana[emoji23][emoji23] kuna siku manchester united ilikua inacheza nadhan na chelsea a while back, sasa niko na ex nikamwomba aniangalizie matokeo livescore, hahahaha nilichenchiwaaa. Nikaambiwa ndo maana mm sipendagi mademu wanaopenda mpira. Hebu ona sasa tuko na mambo yetu unaniletea mambo ya mpira saa hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki ya mungu hamuendi mbinguni. Mtu alikua turned off on the spot. Jamani tueleweni na sisi pia tuna haki ya kupenda football kama nyie.
Salam zangu kwa mashabiki wote wa manchester united na dar young africans.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Yani nachafukwa balaa,bora hats ungesema maji maji ya songea kama huipendi simba
Hahahaha usitake jua historia yangu ya kuipenda yanga. Utashangaa aisee nikikuhadithiaYani nachafukwa balaa,bora hats ungesema maji maji ya songea kama huipendi simba
Sent using Jamii Forums mobile app
Yanga sawa ila huko kwa maibilisi hapanaYaani huwa wanaume wanapenda tutuhukumu sana kwa nyanja zifuatazo:
1: Wanaamini hatujui mpira. Yes, ni kweli hatujui sana football kama nyie lakini tuna mapenzi nao pia. Kwanini msitusaidie? Lakini pia wapo pia wanawakewanaoujua zaidi yenu[emoji23][emoji23] hivyo msitunyanyase saana.
2: munaamini kwamba tumeharibikiwa kwa kuwa tunapenda mpira. Yaan munaamini sisi tunastahili kupenda netball tu. Nani anataka kurusharusha manyonyo?[emoji23][emoji23][emoji23] mimi kama mimi sina mapenzi hata chembe na netball. Ila naturally napenda mpira wa miguu toka nina miaka 10. Na zaidi tukiwa primary kulikua na somo kabisa la sports na tulikua tunacheza. Darasani kabisa tunafundishwa na uwanjani wote tunacheza. R.i.p mwalimu wetu wa football Mr. Gastho moshi. Kwahiyo wote tukubaliane tuko wote hapohapo kwa football.
3: wengi wa wanaume wanaamini kwamba sisi tunalazimisha kupenda mpira ili tuweze wacontrol wanaume wetu maybe wasiweze tucheat maana ratiba zote tunazo na apps zimejaa za mpira kwenye masimu yetu[emoji23][emoji23][emoji23] yes, wapo ambao wanafanya hivyo kutetea ndoa zao maana unashangaa siku unaambiwa leo anacheza real madrid ama borrussia dortmund na taifa stars na unakubali hahahahaa kwahiyo ni faida kwetu pia.
Nina kisa kimoja kila nikikumbuka huwa nacheka sana[emoji23][emoji23] kuna siku manchester united ilikua inacheza nadhan na chelsea a while back, sasa niko na ex nikamwomba aniangalizie matokeo livescore, hahahaha nilichenchiwaaa. Nikaambiwa ndo maana mm sipendagi mademu wanaopenda mpira. Hebu ona sasa tuko na mambo yetu unaniletea mambo ya mpira saa hizi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] haki ya mungu hamuendi mbinguni. Mtu alikua turned off on the spot. Jamani tueleweni na sisi pia tuna haki ya kupenda football kama nyie.
Salam zangu kwa mashabiki wote wa manchester united na dar young africans.
Asanteni
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaja gari imewaka babilai. Mpk lukaku anashineYanga sawa ila huko kwa maibilisi hapana