LDA COMPANY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 340
- 622
Unajua life style ya mega city kama dsm ni tofauti sana na mkoani. Maisha ya dsm yanaenda kasi mno kuliko huko mikoani ndo maana vitu kama hivi unashangaa. Pia dsm ina mwingiliano wa watu wengi wenye culture tofauti tofauti. Ila mkuu kama unaona ma men wa dsm wanakukera kaa huko huko mkoa usije mjini