Ni kwanini wanaume wafupi wanakuwa ni wakorofi.?

Ni kwanini wanaume wafupi wanakuwa ni wakorofi.?

What is the point? kwamba tafsiri ya ufupi ni ukorofi labda cjaelewa unaongelea nyanja gani cz hata ukiangalia good managers 98% ni wafupi na huwa wapo straight kwenye mambo ya msingi na hata ukiangalia ndoa nyingi zilizodum watu watu wa aina hiyo wanahusika sana masalani hata kwenye mawazo yenye tija watu wafupi wapo vizuri sana na mwisho kabisha sio watu wa tamaa kabisa.
 
Dah mnatuonea sana wafupi,

Utafiti mwingine usio rasmi unaonesha dereva bodaboda wengi ni wafupi
 
Yule alieleta mada ya Wanawake wafupi, watu wanarudisha mashambulizi upande wa pili.

Patamu hapo
 
Hahahahah hii mada huwa inanifurahisha kila nkiionaga. BTW mi ni mfupi pia!
NB: Kitaalamu mtu yeyote mwenye kimo kisichozidi 5'6 ni mfupi.
 
Of interest, wanaume wafupi si rahis kujiua kwajili ya mapenzi kama walivyo warefu...again i wonder sijui ndo ukorofi...yaan wao kujitoa muhanga....nooo!
But again si vizur kumnanga mtu kwa kitu ambacho nature imempa eg urefu or ufupi...! Am thinking anyway!
 
Yan wapo insecured sana kuna mwngne ashawah panda kwenye stuli ili aweze kumpiga mkewe.
 
Hakuna mwanaume mpole kwenye mambo ya kijinga
 
ahaha ahahah aa..

mkuu ujafanya research ya kutosha, binafsi mm ni double special (yaani secondary nimesoma special school, kwa O-level na A-level) na mrefu pia, ila top ten zote za shuleni nilizopitia, walikuwa hawa jamaa wafup ase, hata chuo waadhiri wangu wengi walikuwa wafupi, yaani malecturer na wanataaluma....

mfano mfup Prof Mkandala, kuna DVC academic Prof Maboko, DOS (director undergraduate studies) Prof Mushi, late Prof Mutta (geologist), Prof Muhongo, Prof Tibaijuka, Prof Ndalichako, Eng Balozi John Kijazi, Prof John (Coet), Prof Egidius, Prof Kyahalala..

hawa jamaa wapo smart sana, na huwa wana akili sana, kuna prof mmoja class, alishawahi kutwambia kuwa watu wafupi wanaakili sana Duniani, akitolea mfano wa mataifa yaliyoendelea sana kiuchumi, Mf Uchina, Japan, Uingereza, na ulaya yotr ya Magharibi mfano Spain n.k

hawa watu misimamo na maamuzi yao huwa inawafanya watu wengine wawaone kama ni wakorofi, Mfano Rais mstaafu Benjamin Mkapa, Magufuli n.k, hasa ukiwa akili yako ina-load taratibu, ukakutana na hawa watu (hasa awe boss wako), kiukweli utawaona ni wakorofi coz they are staraight...

pili na kaka yangu mfupi, ila academical ni shida, alipata GPA ya 4.8 ya BCOM mlimani, sa hv yupo zake TRA anakula bata na kuku, na mademu wa refu na wazuri anayewataka yeye na wanafuta misimamo yake

mm binafsi natamani ningekuwa mfupi, nadhani ningekuwa na uwezo mkubwa sana,coz mijadala mingi ya kiofisi na utunguji wa sera, hwa jamaa huwa wanadominate, they are too smart

nikija kuwa na maitaji ya mtot, nitaoa au kucross na wanawake wafupi ili nipate mtoto wa saizi ya kati au mfupi kiasi, coz nawakubali sana watu wafupi, kwenye 10, 8 huwa wanauwezo wa kitaaluma
 
Dah mnatuonea sana wafupi,

Utafiti mwingine usio rasmi unaonesha dereva bodaboda wengi ni wafupi
home boy sijakuelewa, mbona walio wengi ni warefu mkuu, au ulikuwa unamjibu mtoa maada
 
Nilikuwa nikitafakari hivi wanaume wafupi kwanini uwa wakorofi? Masaa yote uisi wanawake ni kuwabanabana. Mda wote ulalamika sana ni kwamba hawajiamini nn! Na mie nilisha sema siitaji mwanaume mfupi kulingana na tabia zao! Anaweza akakutukana na kishaanataka aonekane yeye ndo yeye tena ukiomba msamaha ndo kama umepalilia ugomvi em nambie nikweli au mawazo yangu yananidanganya?
alafu kwann usijaribu kubadilisha size, inawezekana nyota yako ni wanaume wafupi, au pia na wewe unashida na hawa watu..
ID yako inasadifu kuwa ww ni mhaya, mbona kwa wastan wa vimo, wahaya wengi ni wafupi, hasa wakule kiziba, alafu ndio wanaakili balaa, kwa sbbu ya misimamo yao
 
Mimi nami nimfupi kabisa lakini sijawahi kuwa na tabia na ukorofi.

Naupenda Ufupi Wang coz ndio unanifanya niwe kama nilivyo.

Utafiti wako kwa kiasi kikubwa ni kweli ya kuwa Wafupi wengi wao ni wakorofi sana na wanapenda vurugu.

Kwa wanaopenda Omolo mnaweza kuniPM.

Chama cha Omolo Tz
CHAOTA.

Kwa hisani ya Kiumeni
 
Hawana confidence...Huwa wanafikiri wanazarauliwa...Hivyo ukorofi ni kama defensive mechanism yao
 
Mimi nami nimfupi kabisa lakini sijawahi kuwa na tabia na ukorofi.

Naupenda Ufupi Wang coz ndio unanifanya niwe kama nilivyo.

Utafiti wako kwa kiasi kikubwa ni kweli ya kuwa Wafupi wengi wao ni wakorofi sana na wanapenda vurugu.

Kwa wanaopenda Omolo mnaweza kuniPM.

Chama cha Omolo Tz
CHAOTA.

Kwa hisani ya Kiumeni
Ukiwa chama cha CHAOTA lazima uwe automatically kwenye chama cha wenye VIBAMIA...
 
tuone kua specific wafupi kiasi gani kuanzia ft ngapi?!! maana ukilinganisha utachanganya,ili wajijue.
 
Back
Top Bottom