ahaha ahahah aa..
mkuu ujafanya research ya kutosha, binafsi mm ni double special (yaani secondary nimesoma special school, kwa O-level na A-level) na mrefu pia, ila top ten zote za shuleni nilizopitia, walikuwa hawa jamaa wafup ase, hata chuo waadhiri wangu wengi walikuwa wafupi, yaani malecturer na wanataaluma....
mfano mfup Prof Mkandala, kuna DVC academic Prof Maboko, DOS (director undergraduate studies) Prof Mushi, late Prof Mutta (geologist), Prof Muhongo, Prof Tibaijuka, Prof Ndalichako, Eng Balozi John Kijazi, Prof John (Coet), Prof Egidius, Prof Kyahalala..
hawa jamaa wapo smart sana, na huwa wana akili sana, kuna prof mmoja class, alishawahi kutwambia kuwa watu wafupi wanaakili sana Duniani, akitolea mfano wa mataifa yaliyoendelea sana kiuchumi, Mf Uchina, Japan, Uingereza, na ulaya yotr ya Magharibi mfano Spain n.k
hawa watu misimamo na maamuzi yao huwa inawafanya watu wengine wawaone kama ni wakorofi, Mfano Rais mstaafu Benjamin Mkapa, Magufuli n.k, hasa ukiwa akili yako ina-load taratibu, ukakutana na hawa watu (hasa awe boss wako), kiukweli utawaona ni wakorofi coz they are staraight...
pili na kaka yangu mfupi, ila academical ni shida, alipata GPA ya 4.8 ya BCOM mlimani, sa hv yupo zake TRA anakula bata na kuku, na mademu wa refu na wazuri anayewataka yeye na wanafuta misimamo yake
mm binafsi natamani ningekuwa mfupi, nadhani ningekuwa na uwezo mkubwa sana,coz mijadala mingi ya kiofisi na utunguji wa sera, hwa jamaa huwa wanadominate, they are too smart
nikija kuwa na maitaji ya mtot, nitaoa au kucross na wanawake wafupi ili nipate mtoto wa saizi ya kati au mfupi kiasi, coz nawakubali sana watu wafupi, kwenye 10, 8 huwa wanauwezo wa kitaaluma