Ni kwanini wanaume wafupi wanakuwa ni wakorofi.?

West Africa ndio kuna miili mikubwa lakini huku East Africa wengi ni wafupi,type za kina Hashim au Dikembe nadra sana 1 in million.
 
Hiyo ni tabia tu, mtu yeyote anaweza kuwa nayo. Acha ubaguzi sio kila mfupi ni mkorofi.
Mbona hata warefu ni wakorofi vilevile.?
Alafu inaonekana wewe unatabia ya. kuwadharau ndio mana.
Sio kudharau, yamemkuta huyo jamaa ka-hit n run ndio demu kaamua aje amalizie hasira humu
 
Eti wanawatukanga akili zao fupi kama wenyewe jamani haya weeee!!

Mara fupi nyundo aisee!!

Utaskia mrefu kwenda chini eeh!!

Miaka ya 90 waliitwa Emollo!!

Sijui mara pimbi!!

Hila tujitu tufupi tutata sana MBUZI zenu.
 
We ndio muhaya orijino.
 
Ningekuwa muumbaji ningejiumba mrefu na warefu wote ningewaumba wafupi ili tubadilishane mitazamo
 
Ufupi kuanzia futi'inch' ngapi kurudi chini ili nijipime kabisa nijijue kama mimi ni mfupi au mrefu.
 
yaan ukitaka karaha ya maisha basi uwe na kamwanaume kafupi, yaan utajuita. Full kisirani ht sijui wakoje,hawajiamini kbs.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…