Ni kwanini wanaume wanakufa mapema kuliko wanawake?

Ni kwanini wanaume wanakufa mapema kuliko wanawake?

WANAUME WANAMUFA SANA KULIKO WANAWAKE NI KWA SABABU WANAWAKE HAWAJAO WANAWAKE.sijui mmenielewa lakinj?
 
Research gani inaonyesha wanaume wanakufa mapema? kwa kiwango gani?
Katika kutafakari kwangu mie naona hata wanawake wengi tu wanakufa.... tena wanaanzia umri mdogo... wanatoa mimba, wanazaa kwa shida, wanaugua, wanajiua, wananyanyasika zaidi ya wanaume. Wanaume wanazaliwa wachache zaidi ya wanawake ndio maana wakifa tu pengo linaonekana. Wanawake wanazaliwa weeengi munoooooooo .... hata wakifa lile pengo halionekani.

Jaribu kuchunguza mwanamke anapokufa tu... hapo hapo nafasi yake inachukuliwa na mwanamke mwingine na hutaona mwanamume amebaki mjane... ni wachache sana! kwa hiyo pengo la kifo cha mwanamke huzibwa fasterrrr!!!! Kazi inakuja akifa mwanamume..... hakuna wa kuziba pengo... mjane anabaki anashangaa tu hakuna hata wa kumsogeza!.....
Mkuu uko sahii kabisa
 
Tunapunguza sumu kwa kwenda juani,nyie sijui mpaka mpigwe nondo ya kichwa ndo mnableed
 
Wanaume tunafanya kazi ngumu sana,hata hao ulio wataja hapo uwe ofisini au sio ofcn unatumia akili nyingi kuhakikisha maisha ya familia au ofisini yanaendelea, hao wanawake ulio wataja hapo chunguza kazi zao
 
Inasemekana maswala kama ya Umalaya, kuchanganya damu za wanawake tofauti tofauti, ulevi, kazi ngumu, misongo ya mawazo n.k

Sasa yakitokea kwa pamoja hayo kwa wakati mmoja ni shida.
 
Back
Top Bottom