Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu uko sahii kabisaResearch gani inaonyesha wanaume wanakufa mapema? kwa kiwango gani?
Katika kutafakari kwangu mie naona hata wanawake wengi tu wanakufa.... tena wanaanzia umri mdogo... wanatoa mimba, wanazaa kwa shida, wanaugua, wanajiua, wananyanyasika zaidi ya wanaume. Wanaume wanazaliwa wachache zaidi ya wanawake ndio maana wakifa tu pengo linaonekana. Wanawake wanazaliwa weeengi munoooooooo .... hata wakifa lile pengo halionekani.
Jaribu kuchunguza mwanamke anapokufa tu... hapo hapo nafasi yake inachukuliwa na mwanamke mwingine na hutaona mwanamume amebaki mjane... ni wachache sana! kwa hiyo pengo la kifo cha mwanamke huzibwa fasterrrr!!!! Kazi inakuja akifa mwanamume..... hakuna wa kuziba pengo... mjane anabaki anashangaa tu hakuna hata wa kumsogeza!.....
Sawa bossUmemaliza Boss hakuna tena mjadala hapo.
Mpaka kufa🏃🏃wanaume tumeumbwa matesoo, matesooo kuhangaika
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Tunapunguza sumu kwa kwenda juani,nyie sijui mpaka mpigwe nondo ya kichwa ndo mnableed
Hivi ni kwanini wanaume kwa asilimia kubwa wengi hufa mapema or hutangulia kufa kuliko wanawake? Najiuliza swali hili sana kwa kutumia experience zangu tu katika maisha yetu haya ya nyumbani TZ na hata nje ya Tz.