Ni kwanini wanaume weusi wa Tanzania wanapenda sana wanawake weupe?

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
1702233626215.png

Na hili nimeshuhudia kwa marafiki zangu wengi weusi, rangi nyeupe zinawazuzua mno, KWANINI?

Binafsi mimi ni mwanaume mweupe, kusema kweli katika maisha yangu hasa ya ujana nilipenda zaidi wanawake bila kujali kigezo cha rangi japo hawa weusi ndio nimewahi kuwa nao wengi zaidi kwenye maisha ya mahusiano yangu kwasababu miaka mingi niliishi Mbeya na mji umejaa wanyakyusa ambao wengi ni weusi.
 
Sasa mimi mweusi tena nichukue mwanamke mweusi...hapana mkuu

niwe mrefu ni chukue demu mrefu hapana aisee

Lazima tuchanganye mambo.
Ninapo Kula mwanamke mweupe najisikia rahaaa sana.
 
View attachment 2838970

Na hili nimeshuhudia kwa marafiki zangu wengi weusi, rangi nyeupe zinawazuzua mno, KWANINI?

Binafsi mimi ni mwanaume mweupe, kusema kweli katika maisha yangu hasa ya ujana nilipenda zaidi wanawake bila kujali kigezo cha rangi japo hawa weusi ndio nimewahi kuwa nao wengi zaidi kwenye maisha ya mahusiano yangu kwasababu miaka mingi niliishi Mbeya na mji umejaa wanyakyusa ambao wengi ni weusi.
Mwanamke mweupe anapenda mwanaume mweusi yaan, naniliu nyeusi tamuu yaan balaa
 
Back
Top Bottom