Ni kwanini wanawake wanamkubali sana Mwamposa Bulldozer kuliko wachungaji/ Wahubiri wengine

Ni kwanini wanawake wanamkubali sana Mwamposa Bulldozer kuliko wachungaji/ Wahubiri wengine

Mjukuu wa kigogo

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2023
Posts
445
Reaction score
1,094
Nimefanya utafiti mdogo tu ,jinsia ke inamuamini sana Mwamposa Bulldozer kuliko watumishi wa Mungu wote.Nini kipo nyuma ya pazia?

FB_IMG_1697732923948.jpg
 
Hujafanya Utafiti Wowote Kwa Wafuatiliaji Wa Mambo Na Wajuzi Huu Ni Upepo Tu Utapita. Mwamposa Kabla Yake Wamepita Watu Wa Aina Yake Wengine Sana
Kwasasa Tunawakumbuka Kwa Majina Lakini Hawana Hiyo Mnayoiita Miujiza


Kakobe, Mzee Wa Bapa, Suguye Sijui Nani Ila Nao Wanapita Tu
Hata Upande Wa Pili Walikuwa Na Wale Wataalam Ujanja Wa Mihadhara Akina Mazinge, Yahaya Mpe...
 
Binafsi namkubali Kuhani Mussa Mwacha,anajua sana kuhubiri....anakemea dhambi yaani Hadi ukitoka pale unakuwa na hofu ya Mungu
 
Back
Top Bottom