Ni kwanini wanawake wanamkubali sana Mwamposa Bulldozer kuliko wachungaji/ Wahubiri wengine

Hujafanya Utafiti Wowote Kwa Wafuatiliaji Wa Mambo Na Wajuzi Huu Ni Upepo Tu Utapita. Mwamposa Kabla Yake Wamepita Watu Wa Aina Yake Wengine Sana
Kwasasa Tunawakumbuka Kwa Majina Lakini Hawana Hiyo Mnayoiita Miujiza


Kakobe, Mzee Wa Bapa, Suguye Sijui Nani Ila Nao Wanapita Tu
Hata Upande Wa Pili Walikuwa Na Wale Wataalam Ujanja Wa Mihadhara Akina Mazinge, Yahaya Mpe...
 
Binafsi namkubali Kuhani Mussa Mwacha,anajua sana kuhubiri....anakemea dhambi yaani Hadi ukitoka pale unakuwa na hofu ya Mungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…