KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Kwa maelezo haya huyu si mwana sheria ni mwana chumbani aliekubuhu..!Nishona vizuri...
Muongozo:
Depal ni modo kuanzia kati kwenda juu, ila kurudi chini ana hips na wowowo bila kulitafutia mkao wala angle yoyote ili lionekana kama lipo...
Hanaga roho mbaya, sema ana act kama vile yeye ni mbaabee wakati ni mchumba tu...
Niishie hapa mimi ya dunia siyawezi.😂