Ni kwanini Wanawake wasio na wowowo wanaroho ya wivu sana na hawajiamini?


Afadhali hata zamu yetu imefikiwa….
 
Hawa wanawake vimbaombao wenyewe wanajiita modo! Wana wivu na hawajiamini kabisa shida ni nini, mbna wenye wowowo huwa hawana wivu na wanajiamini! They are soo insecure

Sio lazima uwe kimbaumbau Ndio uwe huna wowowo wako wanene kibao shape less hatari ..
Wako wembamba lakini wana wowowo si acha kukariri
 
Binafsi wanawake wenye wowowo hua nawatafuna halafu nasepa.. Kama kuja kuoa ntaoa kimbau mbau.. Kwanza wanajiskiaga na kujiona wazuri kitu ambacho kinaongeza kutongozwa ovyo ovyo kwahyo kama ni kichwa boksi utachapiwa sana!!!
 
ukisikia yalaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..........!!
 
Heeheheh ngoja nipewe kwanza muongozo
Nishona vizuri...

Muongozo:
Darlin ni pisii mmoja mkali sana, kamodo kalichobinuka vizuri na wowowo la kutosha kwa kuongezea hana tabu ya kulitafutia mkao wala angle yoyote ili lionekana kama lipo...

Hanaga roho mbaya, kanakuaga kakalii sana na kana hasira sana ila kapo very romantic...
 

Heheheheheh…
Asante kwa kunisaidia natumaini amepata muongozo
Alafu acha kua mkorofi sweetheart…
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…