Ni Kwanini Watanzania hufurahia mtu akipatwa na matatizo au kuyumba kiuchumi au kutumbuliwa?

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
28,722
Reaction score
20,610
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi Lucas Mwashambwa nikiri kwa moyo wa dhati kabisa pasipo unafiki wa aina yoyote ile ya kuwa ni mtu ambaye hufurahia mafanikio ya mtu,kupanda kwa mtu kiuchumi,kupata mafanikio katika maeneo mbalimbali.mimi nikiona mtu wa karibu yangu au niliyekuwa namfahamu au kusoma naye amepata kazi au ajira au kuinuka kiuchumi au kupata mafanikio katika eneo fulani au amekua na kuimarika kibiashara.

Huwa ninafurahi sana na kumuombea sana.huwa naona kabisa kumbe inawezekana kabisa mtu yeyote kufanikiwa ikiwa tu utafanya kazi kwa bidii, juhudi, maarifa na kujituma kwa hali ya juu sana pasipo kuleta ujuaji au kuchagua kazi. Huwa nina kuwa na imani kuwa unaweza kuwa yeyote yule na uchumi wa aina yoyote ile au kumiliki kitu chochote kile au kuwa na mali za halali kabisa za kiasi chochote kile wakati wako ukifika.

Sasa huwa nashangaa sana na kuumia sana na kusikitika sana na kuwaza mengi sana na kujisikia vibaya sana na kusononeka sana napoona watanzania wenzangu wakifurahia na kuchekekelea pale wanapoona mtu fulani aliyekuwa ni tajili au mwenye uchumi mkubwa na wa halali ameshuka na kuyumba.

Unakuta mtu alikuwa anasaidia sana Watu na kujitolea vizuri sana kwa watu mbalimbali wenye shida na matatizo bila kujali ni ndugu au siyo ndugu, lakini siku akifirisika tu unaanza kuona watu walewale waliokuwa wanasaiidiwa wanaanza kumcheka pembeni na kumsema vibaya Majungu ya kila aina.unajiuliza shida ni nini?

Je mtu akifirisika inanifanya vipi mimi Lucas Mwashambwa na umasikini wangu kuwa tajiri na kuinuka kiuchumi ikiwa sifanyi kazi na kujituma? Wewe mtanzania mwenzangu mwingine unayefurahia kushuka kiuchumi kwa mtu mwingine unafaidika vipi na anguko lake?

Unakuta pia leo mtu anaondolewa leo kwenye nafasi yake ya uteuzi halafu watu wanajitokeza na kuanza kushangilia na kufanya sherehe ,halafu mtu yule yule akirudishwa tena kesho unakuta watu walewale wanaanza kujipendekeza na kujiuma uma kwa aibu na unafiki. Shida yetu nini watanzania wenzangu?

Kwanini hatuombeani mema? Kwanini hatuombeani baraka na neema?kwanini tunaombeana mabaya? Ndugu zangu ikiwa kwa maombi yako mimi nitasimama tena basi niombee na siyo kunicheka au kumcheka mtu.

Imefika wakati naona watu mitaani wanaona wivu hata mtu akiona Binti wa jirani yake amepata mchumba na kuolewa.utasikia mama mzima na akili yake na mwenye watoto akitamka kuwa huyo haendi kudumu kwenye ndoa yake na ni lazima ataachika. Ukiangalia nini shida unakuta ni wivu tu wa kijinga jinga tu kwa sababu yeye watoto wake hawajaolewa.

Inafika wakati unasikia watu mpaka wanakwenda na kujiingiza kwenye imani za kishirikina ili tu kumharibia maisha mtu au biashara yake au kazini kwake ili tu asiendelee kuwepo katika nafasi aliyopo.tuacheni kabisa tabia hizo ndugu zangu. Tuwe na mioyo ya kupendana na kuombeana mema na heri. Tuache mioyo ya wivu na chuki za kijinga jinga.nimekutana na haya mambo ndio maana naandika kwa uchungu mkubwa sana juu ya jambo hili.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi Lucas Mwashambwa nikiri kwa moyo wa dhati kabisa pasipo unafiki wa aina yoyote ile ya kuwa ni mtu ambaye hufurahia mafanikio ya mtu,kupanda kwa mtu kiuchumi,kupata mafanikio katika maeneo mbalimbali.mimi nikiona mtu wa karibu yangu au niliyekuwa namfahamu au kusoma naye amepata kazi au ajira au kuinuka kiuchumi au kupata mafanikio katika eneo fulani au amekua na kuimarika kibiashara.

Huwa ninafurahi sana na kumuombea sana.huwa naona kabisa kumbe inawezekana kabisa mtu yeyote kufanikiwa ikiwa tu utafanya kazi kwa bidii, juhudi, maarifa na kujituma kwa hali ya juu sana pasipo kuleta ujuaji au kuchagua kazi. Huwa nina kuwa na imani kuwa unaweza kuwa yeyote yule na uchumi wa aina yoyote ile au kumiliki kitu chochote kile au kuwa na mali za halali kabisa za kiasi chochote kile wakati wako ukifika.

Sasa huwa nashangaa sana na kuumia sana na kusikitika sana na kuwaza mengi sana na kujisikia vibaya sana na kusononeka sana napoona watanzania wenzangu wakifurahia na kuchekekelea pale wanapoona mtu fulani aliyekuwa ni tajili au mwenye uchumi mkubwa na wa halali ameshuka na kuyumba.

Unakuta mtu alikuwa anasaidia sana Watu na kujitolea vizuri sana kwa watu mbalimbali wenye shida na matatizo bila kujali ni ndugu au siyo ndugu, lakini siku akifirisika tu unaanza kuona watu walewale waliokuwa wanasaiidiwa wanaanza kumcheka pembeni na kumsema vibaya Majungu ya kila aina.unajiuliza shida ni nini?

Je mtu akifirisika inanifanya vipi mimi Lucas Mwashambwa na umasikini wangu kuwa tajiri na kuinuka kiuchumi ikiwa sifanyi kazi na kujituma? Wewe mtanzania mwenzangu mwingine unayefurahia kushuka kiuchumi kwa mtu mwingine unafaidika vipi na anguko lake?

Unakuta pia leo mtu anaondolewa leo kwenye nafasi yake ya uteuzi halafu watu wanajitikeza na kuanza kushangilia na kufanya sherehe ,halafu mtu yule yule alirudishwa tena kesho unakuta watu walewale wanaanza kujipendekeza na kujiuma uma kwa aibu na unafiki. Shida yetu nini watanzania wenzangu?

Kwanini hatuombeani mema? Kwanini hatuombeani baraka na neema?kwanini tunaombeana mabaya? Ndugu zangu ikiwa kwa maombi yako mimi nitasimama tena basi niombee na siyo kunicheka au kumcheka mtu.

Imefika wakati naona watu mitaani wanaona wivu hata mtu akiona Binti wa jirani yake amepata mchumba na kuolewa.utaskia mama mzima na akili yake na mwenye watoto akitamka kuwa huyo haendi kudumu kwenye ndoa yake na ni lazima ataachika. Ukiangalia nini shida unakuta ni wivu tu wa kijinga jinga tu kwa sababu yeye watoto wake hawajaolewa.

Inafika wakati unasikia watu mpaka wanakwenda na kujiingiza kwenye imani za kishirikina ili tu kumharibia maisha mtu au biashara yake au kazini kwake ili tu asiendelee kuwepo katika nafasi aliyopo.tuacheni kabisa tabia hizo ndugu zangu. Tuwe na mioyo ya kupendana na kuombeana mema na heri. Tuache mioyo ya wivu ns chuki za kijinga jinga.nimekutana na haya mambo ndio maana naandika kwa uchungu mkubwa sana juu ya jambo hili.

Huko uliko kwenye hicho chama chako ndiko ambako Kuna mambo Kama haya.
Ndio màana huko kwenye chama chako kuuana kwa kuwekeana sumu ni jambo la kawaida kabisa, wala siyo kitu Cha ajabu.
 
Mbona unaleta hisia zako binafsi hapa??

Nadhani pia hili ni tatizo la ELIMU ndogo kushindwa kujua uandike nini Ili watu wajifunze jambo!!

Kwanza nini kimekusukuma kuandika haya?
Pili nani unamrejea kwenye malalamiko yako?
Suluhisho la tatizo hili ni nini?

Otherwise wewe unafit zaidi kwenye uchawa wa kusifia ujingaujinga! Nadhani jikite tu kwenye uchawa. Uchawa haihitaji ELIMU yoyote bali inahitajika karama ya KUKOSA AIBU TU
 
Mi huwa nasoma sana post zako,nyingi zimejikita kwenye uchawa,na sifa ya uchawa ni kujikomba tu,ungekuwa mzalendo wa kweli ungepaza sauti juu ya yale yanayoendelea,kwa mfano,tamko la Nape na yule DC wa longido ila ulikuwa bize na uchawa wako
 
Hatua zimechukuliwa kwa wahusika
 
Lucas we ni mnafiki. Ni kama tu wewe unavyowaombea chadema anguko lao. Acha unafiki. Mnafiki ni nusu ya muuaji.
 
Ila pia inategemea na namna ulivyokuwa juu vile unaishi na jamii.
Kwa mfano, mtu kama Mwigulu aliyetuambia wananchi kama maisha ni magumu Tz tuhamie Burundi huyu siku akifutwa kazi utaona kelele na vifijo vya kufurahia anguko lake, tofauti na akitumbuliwa mtu kama Dr Gwajima ambaye yuko attached na wananchi wote hata wa chini kabisa!.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Mimi Lucas Mwashambwa nikiri kwa moyo wa dhati kabisa pasipo unafiki wa aina yoyote ile ya kuwa ni mtu ambaye hufurahia mafanikio ya mtu,kupanda kwa mtu kiuchumi,kupata mafanikio katika maeneo mbalimbali.mimi nikiona mtu wa karibu yangu au niliyekuwa namfahamu au kusoma naye amepata kazi au ajira au kuinuka kiuchumi au kupata mafanikio katika eneo fulani au amekua na kuimarika kibiashara.

Huwa ninafurahi sana na kumuombea sana.huwa naona kabisa kumbe inawezekana kabisa mtu yeyote kufanikiwa ikiwa tu utafanya kazi kwa bidii, juhudi, maarifa na kujituma kwa hali ya juu sana pasipo kuleta ujuaji au kuchagua kazi. Huwa nina kuwa na imani kuwa unaweza kuwa yeyote yule na uchumi wa aina yoyote ile au kumiliki kitu chochote kile au kuwa na mali za halali kabisa za kiasi chochote kile wakati wako ukifika.

Sasa huwa nashangaa sana na kuumia sana na kusikitika sana na kuwaza mengi sana na kujisikia vibaya sana na kusononeka sana napoona watanzania wenzangu wakifurahia na kuchekekelea pale wanapoona mtu fulani aliyekuwa ni tajili au mwenye uchumi mkubwa na wa halali ameshuka na kuyumba.

Unakuta mtu alikuwa anasaidia sana Watu na kujitolea vizuri sana kwa watu mbalimbali wenye shida na matatizo bila kujali ni ndugu au siyo ndugu, lakini siku akifirisika tu unaanza kuona watu walewale waliokuwa wanasaiidiwa wanaanza kumcheka pembeni na kumsema vibaya Majungu ya kila aina.unajiuliza shida ni nini?

Je mtu akifirisika inanifanya vipi mimi Lucas Mwashambwa na umasikini wangu kuwa tajiri na kuinuka kiuchumi ikiwa sifanyi kazi na kujituma? Wewe mtanzania mwenzangu mwingine unayefurahia kushuka kiuchumi kwa mtu mwingine unafaidika vipi na anguko lake?

Unakuta pia leo mtu anaondolewa leo kwenye nafasi yake ya uteuzi halafu watu wanajitikeza na kuanza kushangilia na kufanya sherehe ,halafu mtu yule yule alirudishwa tena kesho unakuta watu walewale wanaanza kujipendekeza na kujiuma uma kwa aibu na unafiki. Shida yetu nini watanzania wenzangu?

Kwanini hatuombeani mema? Kwanini hatuombeani baraka na neema?kwanini tunaombeana mabaya? Ndugu zangu ikiwa kwa maombi yako mimi nitasimama tena basi niombee na siyo kunicheka au kumcheka mtu.

Imefika wakati naona watu mitaani wanaona wivu hata mtu akiona Binti wa jirani yake amepata mchumba na kuolewa.utaskia mama mzima na akili yake na mwenye watoto akitamka kuwa huyo haendi kudumu kwenye ndoa yake na ni lazima ataachika. Ukiangalia nini shida unakuta ni wivu tu wa kijinga jinga tu kwa sababu yeye watoto wake hawajaolewa.

Inafika wakati unasikia watu mpaka wanakwenda na kujiingiza kwenye imani za kishirikina ili tu kumharibia maisha mtu au biashara yake au kazini kwake ili tu asiendelee kuwepo katika nafasi aliyopo.tuacheni kabisa tabia hizo ndugu zangu. Tuwe na mioyo ya kupendana na kuombeana mema na heri. Tuache mioyo ya wivu ns chuki za kijinga jinga.nimekutana na haya mambo ndio maana naandika kwa uchungu mkubwa sana juu ya jambo hili.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
SEMA wa Tanzania mafukara na maskini, apeche alolo,
Swali lingine uliza kwa nini kibaka wa kuku, na bodaboda, tunamchoma moto, kitaa,lakini fisadi papa, hata kununiwa, hanuniwi!
 
Back
Top Bottom