Ni Kwanini Watanzania hufurahia mtu akipatwa na matatizo au kuyumba kiuchumi au kutumbuliwa?

Mimi nafurahi yakiwapata mabaya watu wa CCM
 
Lucas WATU wanapotekwa, hoja za kutetea bandari zetu zinapotupwa, wewe unabubujikwa majozi ya furaha....kweli yapaswa kutoa kibanzi kilicho jichoni mwako
 
Usijifanye wewe ni CCM saaaana kuliko hata CCM yenyewe wewe ni mnywanywa tu hakujui mtu yeyote pamoja na kujipendekeza kote huko, huo ndiyo ushamba wenyewe, CCM ina wenyewe na wewe si mmoja wapo .
Mbona unalialia wewe dogo.
 
Petroli kupanda bei ni kujisababishia mwenyewe? Hivi upo milembe au unalamba Magaga ya nani saivi?
Umesikia wapi kuwa tuna visima vya mafuta ya petroli? Hufahamu kuwa mafuta yakipanda bei katika soko la Dunia ni lazima yapande bei hadi huku kwetu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…