Cc: Hashim Rungwe Spunda...[emoji23][emoji23][emoji23]
Nikivaa high heels nafika kwenye futi 6 kabisa ππUtakua ulikua umevaa high heels
Sawa mrefu mwenzanguNikivaa high heels nafika kwenye futi 6 kabisa Γ Β½ΓΒΈΓ Β½ΓΒΈ
Ukivaa High heels itakuangusha....Nikivaa high heels nafika kwenye futi 6 kabisa ππ
Sivai zile ukikanywaga kidogo unaweza toboka kabisa, kuna mdada Bank flani ni anavaa high heels high heels kweli mpaka akitembea anapinda pinda ' hatembei kwa kunyookaUkivaa High heels itakuangusha....
Bila Highheels..be as you are utakuwa comfortable .. utapata wako na wengi watakuAdmireSivai zile ukikanywaga kidogo unaweza toboka kabisa, kuna mdada Bank flani ni anavaa high heels high heels kweli mpaka akitembea anapinda pinda ' hatembei kwa kunyooka
Huyo kama katupeleka chaka hivi...6,5 tu hata vitandani hatuenei huyo si atakua hata kwa bus hawez kukaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Safiiii [emoji108] hadi natamani niombe picha
Tall creatures are so beautiful [emoji7]
Kuna watu mnawashwaga sasa Tundulisu kaingiaje hapa!?...ungekua karibu ningeshakukata keleb shenztype.Kama Tundu Lissu mfupiiiiii na lile tumbo lake basi kama mdoli hivi. Ha ha ha ha ha ha ha ha haaaaaaa
Kama bagonza atakuwa hana lishe kabisa! Si kwa ufupi huu,Lishe lishe lishe
Trans antarctic slave trade ilifanyika west Africa siyo east Africa,Mbegu za warefu zilipelekwa ulaya kipindi cha trans Antarctic slave trade wazazi walio baki ni wafupi sie ndo wajuku wao
6 hapa unasemaje mama..?π5'5 mie π
Kuna nguo nyingine za ofisini/ kanisani bila high/ low heels au wedge shoes haviendi...Bila Highheels..be as you are utakuwa comfortable .. utapata wako na wengi watakuAdmire
Hata kitanda cha 6*6 huenei? πHuyo kama katupeleka chaka hivi...6,5 tu hata vitandani hatuenei huyo si atakua hata kwa bus hawez kukaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Miguu yote mimi inatoka nje..ninampango wakutengeneza cha 7 kwa 6Hata kitanda cha 6*6 huenei? [emoji28]