Troublemaker
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 20,834
- 40,641
Kama mimi sasa nina mpango kuhama Tz nikaishi kwenye jamii nyingine ya warefu wenzangu.
ukipewa lift kwenye IST unakaaje mkuu...?[emoji119][emoji119]..maana kale kagari mule ndani kamebana sanaMiguu yote mimi inatoka nje..ninampango wakutengeneza cha 7 kwa 6
Hua nakaa kiubavu flani hivi[emoji16][emoji16]ukipewa lift kwenye IST unakaaje mkuu...?[emoji119][emoji119]..maana kale kagari mule ndani kamebana sana
Ila mbn Kenya wanategemea chakula kutoka kwetu lkn ni warefuLishe lishe lishe
Sidhani kama kuna nchi ambayo watoto wanafanyishwa kaz nzito nzito za utotoni kama Congo. Lkn ukikutana nayo unaona imeenda enda hewani na miili yao wengi ni ya kushibaLishe duni na ufanyishwaji wa kazi nzito utotoni
Katika awamu zote 5 za nchi fulani ya asali ashapatikana kiongozi mmoja tu mrefu wengin wengine wote wafupi wafupi tofauti na viongozi wa nchi jiraniSample ni polepole sio
Hahahahaha kwa style hii kila mmoja atakuja na futi kuanzia 6 na kuendelea. Hakuna atakaekwambia ana futi chini ya hizo nilizotaja juuMkiwa mnacomment mtoe na futi zenu ni ngapi ngapi ili tufanye na utafiti hapa hapa....
Hahahahaha....Tuliyozaliwa enzi za NABII ADAM sisi ni warefu...
Waliyozaliwa enzi za FIRAUNI wao watajijua..
Hakuna mkuu.. nimeufanyia nje ya TZ, hili ni tatizo la taifa lkn ukiwa ndan ya TZ tatizo hilo hauwezi kuliona nduguUtafiti umeufanyia mkoani morogoro?
Hahahahaha mkuu hili halihusiano na wapare tu peke yao bali ni tatizo la nchi nzima. Ukitoka nje ya TZ ndio utaona hayo makabila yanayozungumziwa kuwa ni ya watu warefu kumbe nje ya nchi ni vipimbi tuDaah wapare tunasemwa sana aiseee.
Ya hii inawezekana ni kweli maake wabongo wanaogopeka san nje ya nchiinasemekana wafupi huwa wajanja wajanja sana kumbe ndo maana wabongo tunaogopeka kwa ujanja africa nzima
Nimezungumzia ukiwa nje ya nchi mkuu. Hauwezi kuliona hili tatizo ukiwa bado haujatoka nje ya mipaka ya nchiWewe uko kanda gani mkuu? Humo ondoa mikoa ya kanda ya ziwa!
HahahahahaWafupi ila sehemu za siri hatari
Vipi kuhusu nchi kama Congo ambapo achilia mbali maziwa, wao hata uji wa mtoto kupatikana kwao ni shida lkn utaona jitu hilo linaweza kuchuma nazi hata kwa mkono bila kupanda mtiMaziwa ya watoto bei kubwa hatuna uwezo tunawapa uji mkavu ndiyo chanzo
Mbona Kilimanjaro na Arusha ina watu warefu wengi?Mimi naonaga kama sehemu zenye milima zina watu wafupi zaidi. [emoji28][emoji28]
Mkuu kama haujaishi nje ya TZ ni vigumu sana kukubaliana na utafiti wangHio asilimia 98 umeipata kwa sample ipi? Ulifanyia wap hio research?
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app