Hoja ya mtoa mada ni sahihi Sana, nafikiri ni kawaida ya nchi nyingi ya kusini huku, maana hata wabostwana nao si warefu.
Watu wa west na wa congo wengi wana miili ya kushiba na warefu Ila nafikiri ni issue ya vinasaba tu.
Lingine umesahau watanzania wengi ni watu wa kuzubaa sana, siyo watu wa kuchangamkia fursa, sy watu wa kujitoa muhanga Kama ma west Africa na wakongoman. Ukiwa nje ya Tanzania jichanganye na wakongoman utatoboa ila akili iwe kumkichwa sababu wanapenda Sana fweza, wanaigeria nao wako moto tatizo wajivuni wanajiona wao ndy viranja wa Africa na utapeli.
Zambia, Zim, Botswana, Eswatini walevi sana Ila ni washkaji sana na wabongo.